Kwa kauli ya IGP Sirro justice must be seen and felt. Mbowe atiwe hatiani haraka

Kwa kauli ya IGP Sirro justice must be seen and felt. Mbowe atiwe hatiani haraka

umejiandikia tu kama ambavyo nategemea nikiona mada zako.

Amini usiamini hiki ni kikwazo kimoja wapo kikubwa kwa sisi waafrika. Tunamaintain kuplay primitively miaka nenda miaka rudi, hatuna haja ya kuwa wastaarabu.

Naona mmoja mmoja anaelewa na kwenda kuchanja.
 
Igp amejadili ishu zilizopo mahakamani?
IGP Zero ameanza ujinga wake aliokuwa akifanya enzi za mwendazake. Naona Kesha fanikiwa kumshawishi mama na akaingia kingi. Kinacho tokea sasa ni kurudi kwene udikteta uleule wa Mwendazake!
Shame on you IGP Zero. This gonna
cost u one day for sure.
 
Chama Cha Mazezeta hamna akili, Polisi si mhimili, ila mahakama ni mhimili.
Kama kesi iko mahakamani zero brain sirro, akae kimyaa, hana nguvu.
Kwanini Mazezeta hamjui mwisho ya mipaka yenu?
Nano zero , aliye react kumjibu zero Siro au aliye Mute kumjibu zero?
 
Jeshi la polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao...
Bambikabambika katika ubora wake.
 
Jeshi la Polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao...
acha uzuzu hawa sio police ni uvccm
 
Back
Top Bottom