IGP Zero ameanza ujinga wake aliokuwa akifanya enzi za mwendazake. Naona Kesha fanikiwa kumshawishi mama na akaingia kingi. Kinacho tokea sasa ni kurudi kwene udikteta uleule wa Mwendazake!Igp amejadili ishu zilizopo mahakamani?
Nano zero , aliye react kumjibu zero Siro au aliye Mute kumjibu zero?Chama Cha Mazezeta hamna akili, Polisi si mhimili, ila mahakama ni mhimili.
Kama kesi iko mahakamani zero brain sirro, akae kimyaa, hana nguvu.
Kwanini Mazezeta hamjui mwisho ya mipaka yenu?
Bambikabambika katika ubora wake.Jeshi la polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao...
Yaani hadi hili nalo umeshindwa kulijua..!!?Igp amejadili ishu zilizopo mahakamani?
acha uzuzu hawa sio police ni uvccmJeshi la Polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao...
Yes mkuuAre you sure!