Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Hata hueleweki!Watu weusi ndo,viumbe wenye upeo mdogo wa kufanya tafakari na kutenda.Maana namna jinsi walivyo ni "ishara ya upeo mdogo wa kufikili"Botha.
Mwafrika ameshindwa hata kusimamia jambo dogo kama la uchaguzi,alafu anawaza mageuzi ya kimfumo na kujikomboa toka kwenye utumwa wa fikra za kikoloni na wakati huo matendo yake ni Sawa na mtu asiye na ustaarabu.
"Hata umtwange mpumbavu na mchi kwenye kinu pamoja na ngano, upumbavu wake hauwezi kumtoka"Mfalme Selemani
"Mwafrika hawezi kujitawala" Botha
"Baadhi ya nchi kadhaa za Asia na Afrika ni Sawa na sehemu za kutolea haja kubwa"Trump
Ukiiba, ukakiri, unapongezwa ama kwa reduced sentence, plea bargain, au unasamehewa!. Hii disclosure ni kitu muhimu sana kwa mustakabali mwema wa chaguzi zetu, this time hakuna bao la mkono.Kweli Paschal akili Huna, kwa hiyo Mwizi akisema ukweli wake kuhusiana na ushiriki wake wa Wazi anapongezwa!
Mwizi wa kura sawa na mwizi mwingine yeyote ni kosa la jinai. Nape alipaswa kujiuzuru.KKube
Kumbe ccm ni majizi ndio najua leo
Kura ni mali za wananchi na zina 'value' ya pesa na utashi wa mtu,basically ni uwekezaji kuziiba na kuharibu malengo ni jinai. fullstopUwe na heshima na adabu, majizi ni yale yanayoiba vitu vya watu wengine, vitu vikiwa ni vya kwako mwenyewe, Huwezi jujiibia, ni unajichukulia tuu, unaweka, waa!.
Hii nchi ni yake, watu ni wake, serikali ni yake, Tume ni yake, na kura ni zake!, hivyo sio kuiba bali kujitwalia tuu kitu chako mwenyewe, unakifanya unavyopenda.
P
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.
Nimenote Mhe. Nape, akilaumiwa, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake kuhusu chaguzi zetu.
Huu ni uzi wa pongezi kumtia moyo, asilaumiwe, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake hiyo kwasababu huo ndio ukweli wenyewe, wa chaguzi zetu!.
Ushahidi ni huu, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
Baada ya uchaguzi wa 2015, nilisema Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!
Hivyo hicho alichokisema Nape ni kitu cha kweli, badala ya kulaumiwa, Nape anapaswa kupongezwa na jina lake kuingizwa kwenye list ya mashujaa wa taifa hili kwa kuuweka wazi ukweli huu, hivyo itasaidia sana kutufanya tubadilike!. Big Up Mhe. Nape!.
Kiukweli kabisa wengi wa wanasiasa wetu ni watu malaghai!, wanaweza kusema uongo, mchana kweupe huku macho makavu kabisa bila hata Lepe!.
Ila kuna wanasiasa wachache ni mijitu very bold type ya Mhe. Luhaga Mpina, hawa watausema ukweli, no matter what, hata kama baadae wataomba msamaha by just paying lip service ,lakini ukweli unakuwa umejulikana.
Mhe. Nape Nnauye ni mmoja mmoja wa hao wanasiasa bold, truthful, bonafide and very genuine, alichokisema ndio ukweli wa kinachotokea kwenye baadhi ya chaguzi zetu!.
Badala ya kumlaumu na kumshutumu Mhe. Nape Nnauye, tunapaswa kumpongeza kwa kuisema hadharani siri hii, hivyo sasa ni fursa ya kubadilika, tufanye chaguzi huru na za haki.
Kwa vile haya mambo ni mambo ya kweli na yanafanywa sirini, kitendo cha Nape kuyatamka hata kwa jokes tuu, ni jambo jema na jambo la kheri la kutusaidia kubadilika na kuachana na hizi mambo.
Kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020, nilitoa ombi hili mahsusi Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Kwa vile sasa the cat is out of the basket, haya mambo, tuyajadili kwa uwazi kwa lengo la kuyaepuka.
Pia tumpongeze Nape kwa kutoa jokes za ukweli, na zinapo backfire anakuwa ni mwepesi kuomba msamaha!.
Nape ndie muasisi wa maneno
"Kinyago ukichonge mwenyewe halafu kinakutisha".
"Bao la Mkono" na sasa hii
Kauli ya kuhusu uchaguzi.
Kichama kosa lake ni kuropoka ukweli wa kinachofanyikaga. Kitendo cha kutoa siri za chama za mbinu za ushindi wa uchaguzi, kichama ni kosa kubwa, ila ki haki, kibaraka, alichokisema Nape ni roho wa Mungu amezungumza kupitia Nape. Kauli hii inaweza kumponza Nape kwa kum cost his political carrier, lakini kwa kupigwa kwake, sisi tunaponywa na taifa linaponywa, tunabarikiwa.
Keep it up Mhe. Nape, sisi wakweli wote, tuko na wewe, tuko nyuma yako na tutasimama na wewe. Ukipaswa kuwajibika kwa kauli yako, wajibika tuu, na Mungu atakunyanyua na kukuweka juu palipo inuka!.
Naamini Mama ameisikia kauli hii, hivyo sasa hili ombi linakwenda kwa Mama, Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Tuziache hizi mambo, tubarikiwe, tuziendeleze na tuendelee ku ...
Mungu Akubariki sana.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Aisee!Wanabodi,

Hii nchi ni mali ya CCM!, wananchi ni mali yao, kura zao ni mali yao, hadi haki zao ni kwa hisani yao. You can't steal from yourself, ni unachukua tuu, unaweka,Kura ni mali za wananchi na zina 'value' ya pesa na utashi wa mtu,basically ni uwekezaji kuziiba na kuharibu malengo ni jinai. fullstop
Kama katiba 'ilisemwa'...! Seuze mchakato wa uchaguzi?....sawa katoa ukweli lakini kwa muktadha upi?
Kazi ipo kufanya damage control...! Kwa jicho la mbali Nape amehujumu ziara ya Mama Katavi...! Hii haikubaliki.Hajaanza leo...
Ukiiba, ukakiri, unapongezwa ama kwa reduced sentence, plea bargain, au unasamehewa!. Hii disclosure ni kitu muhimu sana kwa mustakabali mwema wa chaguzi zetu, this time hakuna bao la mkono.
Hata majizi ya EPA, tuliyasamehe!
P
Kama hauja elewa,tambua ujumbe huo sio mahususi kwako.Hata hueleweki!
I See! Kwan Membe aliacha kikonyo!Nape adabu ataipata pale Steven kamilius Membe wajumbe watakapompitisha kuwa mgombea ubunge na yeye kumkataa na itakuwa ni mfumo unamuacha siyo kawaida
Watanzania hampendi watu wakweli, sikilizeni porojo kama za Mchungaji asiyechunga Msigwa ndio vitu mnapenda kuvisikia, ulaghai.Pasco the ndumilakuwili.
Basi mkuu punguza:mhemko!Kama hauja elewa,tambua ujumbe huo sio mahususi kwako.