Pre GE2025 Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu weusi ndo,viumbe wenye upeo mdogo wa kufanya tafakari na kutenda.Maana namna jinsi walivyo ni "ishara ya upeo mdogo wa kufikili"Botha.

Mwafrika ameshindwa hata kusimamia jambo dogo kama la uchaguzi,alafu anawaza mageuzi ya kimfumo na kujikomboa toka kwenye utumwa wa fikra za kikoloni na wakati huo matendo yake ni Sawa na mtu asiye na ustaarabu.

"Hata umtwange mpumbavu na mchi kwenye kinu pamoja na ngano, upumbavu wake hauwezi kumtoka"Mfalme Selemani

"Mwafrika hawezi kujitawala" Botha

"Baadhi ya nchi kadhaa za Asia na Afrika ni Sawa na sehemu za kutolea haja kubwa"Trump
Hata hueleweki!
 
Kweli Paschal akili Huna, kwa hiyo Mwizi akisema ukweli wake kuhusiana na ushiriki wake wa Wazi anapongezwa!
Ukiiba, ukakiri, unapongezwa ama kwa reduced sentence, plea bargain, au unasamehewa!. Hii disclosure ni kitu muhimu sana kwa mustakabali mwema wa chaguzi zetu, this time hakuna bao la mkono.
Hata majizi ya EPA, tuliyasamehe!
P
 
Uwe na heshima na adabu, majizi ni yale yanayoiba vitu vya watu wengine, vitu vikiwa ni vya kwako mwenyewe, Huwezi jujiibia, ni unajichukulia tuu, unaweka, waa!.
Hii nchi ni yake, watu ni wake, serikali ni yake, Tume ni yake, na kura ni zake!, hivyo sio kuiba bali kujitwalia tuu kitu chako mwenyewe, unakifanya unavyopenda.
P
Kura ni mali za wananchi na zina 'value' ya pesa na utashi wa mtu,basically ni uwekezaji kuziiba na kuharibu malengo ni jinai. fullstop
 
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.

Nimenote Mhe. Nape, akilaumiwa, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake kuhusu chaguzi zetu.

Huu ni uzi wa pongezi kumtia moyo, asilaumiwe, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake hiyo kwasababu huo ndio ukweli wenyewe, wa chaguzi zetu!.

Ushahidi ni huu, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Baada ya uchaguzi wa 2015, nilisema Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!

Hivyo hicho alichokisema Nape ni kitu cha kweli, badala ya kulaumiwa, Nape anapaswa kupongezwa na jina lake kuingizwa kwenye list ya mashujaa wa taifa hili kwa kuuweka wazi ukweli huu, hivyo itasaidia sana kutufanya tubadilike!. Big Up Mhe. Nape!.

Kiukweli kabisa wengi wa wanasiasa wetu ni watu malaghai!, wanaweza kusema uongo, mchana kweupe huku macho makavu kabisa bila hata Lepe!.

Ila kuna wanasiasa wachache ni mijitu very bold type ya Mhe. Luhaga Mpina, hawa watausema ukweli, no matter what, hata kama baadae wataomba msamaha by just paying lip service ,lakini ukweli unakuwa umejulikana.

Mhe. Nape Nnauye ni mmoja mmoja wa hao wanasiasa bold, truthful, bonafide and very genuine, alichokisema ndio ukweli wa kinachotokea kwenye baadhi ya chaguzi zetu!.

Badala ya kumlaumu na kumshutumu Mhe. Nape Nnauye, tunapaswa kumpongeza kwa kuisema hadharani siri hii, hivyo sasa ni fursa ya kubadilika, tufanye chaguzi huru na za haki.

Kwa vile haya mambo ni mambo ya kweli na yanafanywa sirini, kitendo cha Nape kuyatamka hata kwa jokes tuu, ni jambo jema na jambo la kheri la kutusaidia kubadilika na kuachana na hizi mambo.

Kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020, nilitoa ombi hili mahsusi Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Kwa vile sasa the cat is out of the basket, haya mambo, tuyajadili kwa uwazi kwa lengo la kuyaepuka.

Pia tumpongeze Nape kwa kutoa jokes za ukweli, na zinapo backfire anakuwa ni mwepesi kuomba msamaha!.

Nape ndie muasisi wa maneno
"Kinyago ukichonge mwenyewe halafu kinakutisha".
"Bao la Mkono" na sasa hii
Kauli ya kuhusu uchaguzi.

Kichama kosa lake ni kuropoka ukweli wa kinachofanyikaga. Kitendo cha kutoa siri za chama za mbinu za ushindi wa uchaguzi, kichama ni kosa kubwa, ila ki haki, kibaraka, alichokisema Nape ni roho wa Mungu amezungumza kupitia Nape. Kauli hii inaweza kumponza Nape kwa kum cost his political carrier, lakini kwa kupigwa kwake, sisi tunaponywa na taifa linaponywa, tunabarikiwa.

Keep it up Mhe. Nape, sisi wakweli wote, tuko na wewe, tuko nyuma yako na tutasimama na wewe. Ukipaswa kuwajibika kwa kauli yako, wajibika tuu, na Mungu atakunyanyua na kukuweka juu palipo inuka!.

Naamini Mama ameisikia kauli hii, hivyo sasa hili ombi linakwenda kwa Mama, Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Tuziache hizi mambo, tubarikiwe, tuziendeleze na tuendelee ku ...

Mungu Akubariki sana.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.

Aisee!
 
Kura ni mali za wananchi na zina 'value' ya pesa na utashi wa mtu,basically ni uwekezaji kuziiba na kuharibu malengo ni jinai. fullstop
Hii nchi ni mali ya CCM!, wananchi ni mali yao, kura zao ni mali yao, hadi haki zao ni kwa hisani yao. You can't steal from yourself, ni unachukua tuu, unaweka,
Waa!
P
 
Hiyo ni dalili ya uongozi mzuri wa serikali yetu, wananchi wameridhika na wanaishi bila matatizo na hofu ya maisha.

Ahsante mama Samia, uongozi wa mwendazake nani alikuwa na hamu ya michezo?
 
"mentor" wa siasa wa Nape inabidi asifiwe sana, anajuw kucheza na akili ya wapinzani.

Anafahamu kabisa kuwa hii mijitu haina sera wala haijuwi siasa, wala haina muelekeo wenye maengo. Anajuwa wazi akiwanyikoa hivi wote watahamia kwake na kuwacha mengine.

Hajaanza leo kuwanyokoa.

Heko Nape.
 
Ukiiba, ukakiri, unapongezwa ama kwa reduced sentence, plea bargain, au unasamehewa!. Hii disclosure ni kitu muhimu sana kwa mustakabali mwema wa chaguzi zetu, this time hakuna bao la mkono.
Hata majizi ya EPA, tuliyasamehe!
P

Nakubali, upo sahihi!
 
Nape ni Zero Brain, kichwa kibwa lakini hamna kitu kabisa. Msameheni tu, zaidi sana tumpongeze kwa kueleza ukweli ili tunapoelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata wapinzani wajue watu wa kushughulika nao siku za uchaguzi, yaani WASIMAMIZI WA KITUO CHA KUPIGIA KURA na ambao pia ndo wanaohesabu na kutangaza matokeo.
Hawa WASIMAMIZI WA UCHAGUZI katika kituo cha kupigia kura ni watu tunaoishi nao, tunasafiri nao nk. Inakuwaje anafanya ujinga kama huo halafu badala ya kushughulika naye, tunaanza tu kulalamika eti wameiba kura bila hata kuchukua hatua kali ambazo mtu mwingine haji kurudia tena kuleta ujinga kama huo.
 
Nape on other hand anastahili Pongezi amewasilisha uhalisia kwa controversial language kuwafungua macho raia lakini hayo mengine yamaamuzi ni juu yetu lakini ndio ameshatoa tahadhari ashukuriwe
Mkuu Zegreaty , karibu pande hizi, naunga mkono hoja.
P
 
Back
Top Bottom