Pre GE2025 Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukiiba, ukakiri, unapongezwa ama kwa reduced sentence, plea bargain, au unasamehewa!. Hii disclosure ni kitu muhimu sana kwa mustakabali mwema wa chaguzi zetu, this time hakuna bao la mkono.
Hata majizi ya EPA, tuliyasamehe!
P
Tume huru ndio jawabu,hata wewe pascal uwemo!si ndio ndugu zangu?
 
Mmeshalipwa hela huko saivi mmeanza kujitoa ufahamu?
Unaamini na mimi nalipwa hela?.
Ni kweli
Kama wewe ni mwandishi unayejitambua na hauendeshwi na tumbo swali ulilopaswa kujiuliza ni Je bila Reforms tunaenda kwenye uchaguzi ili iweje?
Tunakwenda kwenye uchaguzi kukamilisha taratibu.
Kama sisi tunaipenda kweli nchi yetu na ni wazalendo kweli, lazima tulijenge Taifa letu kwenye misingi imara ya Haki na Ukweli. Na hapo ndipo Mwenyezi Mungu atatubariki.
Karibu pande hizi
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…