Pre GE2025 Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?

Pre GE2025 Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukiiba, ukakiri, unapongezwa ama kwa reduced sentence, plea bargain, au unasamehewa!. Hii disclosure ni kitu muhimu sana kwa mustakabali mwema wa chaguzi zetu, this time hakuna bao la mkono.
Hata majizi ya EPA, tuliyasamehe!
P
Tume huru ndio jawabu,hata wewe pascal uwemo!si ndio ndugu zangu?
 
Wanabodi,

Mhe. Nape Nnauye ni mmoja mmoja wa hao wanasiasa bold, truthful, bonafide and very genuine, alichokisema ndio ukweli wa kinachotokea kwenye baadhi ya chaguzi zetu!.

Badala ya kumlaumu na kumshutumu Mhe. Nape Nnauye, tunapaswa kumpongeza kwa kuisema hadharani siri hii, hivyo sasa ni fursa ya kubadilika, tufanye chaguzi huru na za haki.

Kwa vile haya mambo ni mambo ya kweli na yanafanywa sirini, kitendo cha Nape kuyatamka hata kwa jokes tuu, ni jambo jema na jambo la kheri la kutusaidia kubadilika na kuachana na hizi mambo.

Kwa vile sasa the cat is out of the basket, haya mambo, tuyajadili kwa uwazi kwa lengo la kuyaepuka.

Pia tumpongeze Nape kwa kutoa jokes za ukweli, na zinapo backfire anakuwa ni mwepesi kuomba msamaha!.

Kichama kosa lake ni kuropoka ukweli wa kinachofanyikaga. Kitendo cha kutoa siri za chama za mbinu za ushindi wa uchaguzi, kichama ni kosa kubwa, ila ki haki, kibaraka, alichokisema Nape ni roho wa Mungu amezungumza kupitia Nape. Kauli hii inaweza kumponza Nape kwa kum cost his political carrier, lakini kwa kupigwa kwake, sisi tunaponywa na taifa linaponywa, tunabarikiwa.

Keep it up Mhe. Nape, sisi wakweli wote, tuko na wewe, tuko nyuma yako na tutasimama na wewe. Ukipaswa kuwajibika kwa kauli yako, wajibika tuu, na Mungu atakunyanyua na kukuweka juu palipo inuka!.

Tuziache hizi mambo, tubarikiwe, tuziendeleze na tuendelee ku ...

Mungu Akubariki sana.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Mmeshalipwa hela huko saivi mmeanza kujitoa ufahamu?
Unaamini na mimi nalipwa hela?.
Sikiliza Pascal! Tanzania hakuna uchaguzi huru na wa haki. Na uthibitisho wa hilo ni maneno ya aliyekuwa Waziri wa Habari aliyoyaongea akiwa Waziri wa Habari Ndug Nape Nnauye aliyesema wazi mbele ya vyombo vya habari kuwa hapa Tanzania sio kura za wananchi zinazoamua mshindi kwenye chaguzi ila anayetangaza matokeo.
Ni kweli
Kama wewe ni mwandishi unayejitambua na hauendeshwi na tumbo swali ulilopaswa kujiuliza ni Je bila Reforms tunaenda kwenye uchaguzi ili iweje?
Tunakwenda kwenye uchaguzi kukamilisha taratibu.
Kama sisi tunaipenda kweli nchi yetu na ni wazalendo kweli, lazima tulijenge Taifa letu kwenye misingi imara ya Haki na Ukweli. Na hapo ndipo Mwenyezi Mungu atatubariki.
Karibu pande hizi
P
 
Back
Top Bottom