Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.
Nimenote Mhe. Nape, akilaumiwa, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake kuhusu chaguzi zetu na ushindi wa nje ya box.
Huu ni uzi wa pongezi kumtia moyo, asilaumiwe, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake hiyo kwasababu huo ndio ukweli wenyewe, wa chaguzi zetu!. Sio mara moja wala mbili tumezungumza humu kuhusu kitu kinachoitwa African democracy, ambapo the determinant of victory is not the vote cast but the vote count, anaye determine mshindi sio mpiga kura bali muhesabu kura!.
Kwenye uzi huu For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge? nilisema
Ushahidi ni huu, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
Baada ya uchaguzi wa 2015, nilisema Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!
Hivyo hicho alichokisema Nape ni kitu cha kweli, badala ya kulaumiwa, Nape anapaswa kupongezwa na jina lake kuingizwa kwenye list ya mashujaa wa taifa hili kwa kuuweka wazi ukweli huu, hivyo itasaidia sana kutufanya tubadilike!. Big Up Mhe. Nape!.
Kiukweli kabisa wengi wa wanasiasa wetu ni watu malaghai!, wanaweza kusema uongo, mchana kweupe huku macho makavu kabisa bila hata Lepe!.
Ila kuna wanasiasa wachache ni mijitu very bold type ya Mhe. Luhaga Mpina, hawa watausema ukweli, no matter what, hata kama baadae wataomba msamaha by just paying lip service ,lakini ukweli unakuwa umejulikana.
Mhe. Nape Nnauye ni mmoja mmoja wa hao wanasiasa bold, truthful, bonafide and very genuine, alichokisema ndio ukweli wa kinachotokea kwenye baadhi ya chaguzi zetu!.
Badala ya kumlaumu na kumshutumu Mhe. Nape Nnauye, tunapaswa kumpongeza kwa kuisema hadharani siri hii, hivyo sasa ni fursa ya kubadilika, tufanye chaguzi huru na za haki.
Kwa vile haya mambo ni mambo ya kweli na yanafanywa sirini, kitendo cha Nape kuyatamka hata kwa jokes tuu, ni jambo jema na jambo la kheri la kutusaidia kubadilika na kuachana na hizi mambo.
Kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020, nilitoa ombi hili mahsusi Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Kwa vile sasa the cat is out of the basket, haya mambo, tuyajadili kwa uwazi kwa lengo la kuyaepuka.
Pia tumpongeze Nape kwa kutoa jokes za ukweli, na zinapo backfire anakuwa ni mwepesi kuomba msamaha!.
Nape ndie muasisi wa maneno
"Kinyago ukichonge mwenyewe halafu kinakutisha".
"Bao la Mkono" na sasa hii
Kauli ya kuhusu uchaguzi.
Keep it up Mhe. Nape, sisi wakweli wote, tuko na wewe, tuko nyuma yako na tutasimama na wewe. Ukipaswa kuwajibika kwa kauli yako, wajibika tuu, na Mungu atakunyanyua na kukuweka juu palipo inuka!.
Naamini Mama ameisikia kauli hii, hivyo sasa hili ombi linakwenda kwa Mama, Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Tuziache hizi mambo, tubarikiwe, tuziendeleze na tuendelee ku ...
Mungu Akubariki sana.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Rejea ya Nyuzi za alichokisema Nape

Kutokana na Watanzania wenzetu wengi kuwa na too great expectations kuwa Tundu Lissu atashinda uchaguzi huu wakati sisi tunaojua the reality ya ushindi wa uchaguzi hautokani na kura tuu zilizopigwa, yaani the votes casted, but the votes counted!, hivyo the determinant of victory is not vote cast but vote count!. Determinant ya nani ni mshindi, haiamuliwi na mpiga kura kwa kura yake, bali anayehesabu kura!.
Nalisema hili mapema ili kuwasaidia Watanzania wenzetu, kwa kuwaandaa kisaikolojia kwa kitakacho tokea, ili watakapo kutana na ukweli huu kwenye matokeo, wasije kuchanganyikiwa kwa stress na despair kwa kutoamini macho yao na masikio yao kwa kitakacho tokea, hivyo bandiko hili ni msaada mkubwa kwao, kuzuia panic na kupata pressure, na depression ya kushindwa kwasababu they knew before, na waliambiwa.
Paskali
Ushahidi ni huu, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
Baada ya uchaguzi wa 2015, nilisema Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!
Hivyo hicho alichokisema Nape ni kitu cha kweli, badala ya kulaumiwa, Nape anapaswa kupongezwa na jina lake kuingizwa kwenye list ya mashujaa wa taifa hili kwa kuuweka wazi ukweli huu, hivyo itasaidia sana kutufanya tubadilike!. Big Up Mhe. Nape!.
Kiukweli kabisa wengi wa wanasiasa wetu ni watu malaghai!, wanaweza kusema uongo, mchana kweupe huku macho makavu kabisa bila hata Lepe!.
Ila kuna wanasiasa wachache ni mijitu very bold type ya Mhe. Luhaga Mpina, hawa watausema ukweli, no matter what, hata kama baadae wataomba msamaha by just paying lip service ,lakini ukweli unakuwa umejulikana.
Mhe. Nape Nnauye ni mmoja mmoja wa hao wanasiasa bold, truthful, bonafide and very genuine, alichokisema ndio ukweli wa kinachotokea kwenye baadhi ya chaguzi zetu!.
Badala ya kumlaumu na kumshutumu Mhe. Nape Nnauye, tunapaswa kumpongeza kwa kuisema hadharani siri hii, hivyo sasa ni fursa ya kubadilika, tufanye chaguzi huru na za haki.
Kwa vile haya mambo ni mambo ya kweli na yanafanywa sirini, kitendo cha Nape kuyatamka hata kwa jokes tuu, ni jambo jema na jambo la kheri la kutusaidia kubadilika na kuachana na hizi mambo.
Kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020, nilitoa ombi hili mahsusi Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Kwa vile sasa the cat is out of the basket, haya mambo, tuyajadili kwa uwazi kwa lengo la kuyaepuka.
Pia tumpongeze Nape kwa kutoa jokes za ukweli, na zinapo backfire anakuwa ni mwepesi kuomba msamaha!.
Nape ndie muasisi wa maneno
"Kinyago ukichonge mwenyewe halafu kinakutisha".
"Bao la Mkono" na sasa hii
Kauli ya kuhusu uchaguzi.
Kichama kosa lake ni kuropoka ukweli wa kinachofanyikaga. Kitendo cha kutoa siri za chama za mbinu za ushindi wa uchaguzi, kichama ni kosa kubwa, ila ki haki, kibaraka, alichokisema Nape ni roho wa Mungu amezungumza kupitia Nape. Kauli hii inaweza kumponza Nape kwa kum cost his political carrier, lakini kwa kupigwa kwake, sisi tunaponywa na taifa linaponywa, tunabarikiwa.Kwahiyo asichukuliwe hatua za kinidhamu kwenye chama?!
Keep it up Mhe. Nape, sisi wakweli wote, tuko na wewe, tuko nyuma yako na tutasimama na wewe. Ukipaswa kuwajibika kwa kauli yako, wajibika tuu, na Mungu atakunyanyua na kukuweka juu palipo inuka!.
Naamini Mama ameisikia kauli hii, hivyo sasa hili ombi linakwenda kwa Mama, Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Tuziache hizi mambo, tubarikiwe, tuziendeleze na tuendelee ku ...
Mungu Akubariki sana.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Rejea ya Nyuzi za alichokisema Nape
- CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
- CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
- Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
- Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.