johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msigwa alikataa Uwaziri sasa anahenyea uDCUmeanza kumchokoza Msigwa sasa.
Wakinga ni wapuuzi sana 😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msigwa alikataa Uwaziri sasa anahenyea uDCUmeanza kumchokoza Msigwa sasa.
Duh!Una hasira na maswetule?Msigwa alikataa Uwaziri sasa anahenyea uDC
Wakinga ni wapuuzi sana 😃😃
U- DC hawezi kuupata kwa kuwa hakuna hasara aliyoipa Chadema na wala hukuna faida aliyoipa CCM, kwa hiyo labda atapewa kazi ya uhudumu hapo mkoani!Msigwa alikataa Uwaziri sasa anahenyea uDC
Wakinga ni wapuuzi sana 😃😃
😂😂😂😂😂😂Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu
Mtanikumbuka 😂
Tatizo NAPE ameusema ukweli si kwa njia ya kuukemea bali kwa kuusifia kama kitu endelevu.Hii siyo sawa. kifalsafa hiyo ndiyo tofauti kubwa ya ukweli nfani ya ukweli. sawa katoa ukweli lakini kwa muktadha upi?Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu
Mtanikumbuka 😂
Dharau tunazofanyiwa na viongozi wa CCM hazina mfano na bahati mbaya wananchi tunachekelea kama mazuzu! Nadhani kuna hitilafu kubwa sana katika mfumo wa elimu tunayoipata mashuleni.Sidhani kama anahitaji pongezi, yeye ni wa upande huohuo. Aliongea kama dhihaka, kebehi na majivuno. Sema ni Tanzania, ingekuwa nchi inayojielewa kuanzia Mwenyekiti mpaka nafasi ya mwisho walitakiwa waachie hizo nafasi.
Kila mara vyama vya siasa, wananchi na Asasi mbalimbali wanalalamikia hilo, leo mtu anakiri hadharani na hakuna kinachofanyika mnataka apongezwe si sawa. Tz ni wanyonge ila hili mtazidi kunyongwa sana.
Ukweli ni Ukweli bwashee 😄Tatizo NAPE ameusema ukweli si kwa njia ya kuukemea bali kwa kuusifia kama kitu endelevu kifalsafa hiyo ndiyo tofauti kubwa. sawa katoa ukweli lakini kwa muktadha upi?
Hajaropoka ,kauli mbili kuzitamka katika nyakati mbili tofauti,zikiwa zina maana sawa,hapo alikuwa anasisitiza na kusema na mwakani tena.Alicho ongea ndio uhalisia.Mwenzako alilewa akaropoka bahati mbaya wewe unampongeza, Kama ni hivyo ipongeze Pombe aliyoitwika
Pascal Mayalla a.k.a NYANI MZEEWanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.
Nimenote Mhe. Nape, akilaumiwa, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake kuhusu chaguzi zetu.
Huu ni uzi wa pongezi kumtia moyo, asilaumiwe, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake hiyo kwasababu huo ndio ukweli wenyewe, wa chaguzi zetu!.
Ushahidi ni huu, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
Baada ya uchaguzi wa 2015, nilisema Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!
Hivyo hicho alichokisema Nape ni kitu cha kweli, badala ya kulaumiwa, Nape anapaswa kupongezwa na jina lake kuingizwa kwenye list ya mashujaa wa taifa hili kwa kuuweka wazi ukweli huu, hivyo itasaidia sana kutufanya tubadilike!. Big Up Mhe. Nape!.
Kiukweli kabisa wengi wa wanasiasa wetu ni watu malaghai!, wanaweza kusema uongo, mchana kweupe huku macho makavu kabisa bila hata Lepe!.
Ila kuna wanasiasa wachache ni mijitu very bold type ya Mhe. Luhaga Mpina, hawa watausema ukweli, no matter what, hata kama baadae wataomba msamaha by just paying lip service ,lakini ukweli unakuwa umejulikana.
Mhe. Nape Nnauye ni mmoja mmoja wa hao wanasiasa bold, truthful, bonafide and very genuine, alichokisema ndio ukweli wa kinachotokea kwenye baadhi ya chaguzi zetu!.
Badala ya kumlaumu na kumshutumu Mhe. Nape Nnauye, tunapaswa kumpongeza kwa kuisema hadharani siri hii, hivyo sasa ni fursa ya kubadilika, tufanye chaguzi huru na za haki.
Kwa vile haya mambo ni mambo ya kweli na yanafanywa sirini, kitendo cha Nape kuyatamka hata kwa jokes tuu, ni jambo jema na jambo la kheri la kutusaidia kubadilika na kuachana na hizi mambo.
Kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020, nilitoa ombi hili mahsusi Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Kwa vile sasa the cat is out of the basket, haya mambo, tuyajadili kwa uwazi kwa lengo la kuyaepuka.
Pia tumpongeze Nape kwa kutoa jokes za ukweli, na zinapo backfire anakuwa ni mwepesi kuomba msamaha!.
Nape ndie muasisi wa maneno
"Kinyago ukichonge mwenyewe halafu kinakutisha".
"Bao la Mkono" na sasa hii
Kauli ya kuhusu uchaguzi.
Kichama kosa lake ni kuropoka ukweli wa kinachofanyikaga. Kitendo cha kutoa siri za chama za mbinu za ushindi wa uchaguzi, kichama ni kosa kubwa, ila ki haki, kibaraka, alichokisema Nape ni roho wa Mungu amezungumza kupitia Nape. Kauli hii inaweza kumponza Nape kwa kum cost his political carrier, lakini kwa kupigwa kwake, sisi tunaponywa na taifa linaponywa, tunabarikiwa.
Keep it up Mhe. Nape, sisi wakweli wote, tuko na wewe, tuko nyuma yako na tutasimama na wewe. Ukipaswa kuwajibika kwa kauli yako, wajibika tuu, na Mungu atakunyanyua na kukuweka juu palipo inuka!.
Naamini Mama ameisikia kauli hii, hivyo sasa hili ombi linakwenda kwa Mama, Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Tuziache hizi mambo, tubarikiwe, tuziendeleze na tuendelee ku ...
Mungu Akubariki sana.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Mbona hujasema 2015 huku bara!!?lowasa alivyoshinda!!?Wanabodi,

Kumbe sio mnyalukolo mwenzakoMsigwa alikataa Uwaziri sasa anahenyea uDC
Wakinga ni wapuuzi sana 😃😃