NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
TFF na viongozi wa Yanga sc hapakaliki, wanapigana vikumbo kuona namna gani /kuweka mikakati mpaka Jambo la Feisal Salum kuisha.
Feisal Salumu hana timu ya kucheza zaidi ya Simba na Yanga, huo ndiyo ukweli kwa hiyo tutegemee kubaki Yanga ama kwenda Simba Sc.
Nawasilisha hoja yangu.
Feisal Salumu hana timu ya kucheza zaidi ya Simba na Yanga, huo ndiyo ukweli kwa hiyo tutegemee kubaki Yanga ama kwenda Simba Sc.
Nawasilisha hoja yangu.