Kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan, tutegemee kumuona Feisal Salum akirejea Yanga au kutokomea Simba sc msimu ujao

Kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan, tutegemee kumuona Feisal Salum akirejea Yanga au kutokomea Simba sc msimu ujao

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
TFF na viongozi wa Yanga sc hapakaliki, wanapigana vikumbo kuona namna gani /kuweka mikakati mpaka Jambo la Feisal Salum kuisha.

Feisal Salumu hana timu ya kucheza zaidi ya Simba na Yanga, huo ndiyo ukweli kwa hiyo tutegemee kubaki Yanga ama kwenda Simba Sc.

Nawasilisha hoja yangu.
 
TFF na viongozi wa Yanga sc hapakaliki wanapigana vikumbo kuona namna gani /kuweka mikakati mpaka Jambo la Feisali Salumu kuisha.

Feisal Salumu hana timu ya kucheza zaidi ya Simba na Yanga huo ndiyo ukweli kwa hiyo tutegemee kubaki Yanga ama kwenda Simba Sc.

Nawasilisha hoja yangu.
Hakuna mtu asiyejua Fei anaenda Azam
 
Back
Top Bottom