Endeleeni kuishi kwa kukariri tu, lakini hakuna wakuwakatia tamaa nyie, pumzi inakata siku sio nyingi, mwenyewe hapo ushindi wa 1-0 kila siku nakuona unavyoyetemeka..Nawakumbusha zimebaki mechi 9 tu ligi iishe ndugu zangu wa [emoji881]View attachment 2495540
Ajabu kocha wenu anasema hiki, wewe shabiki wa Nanjilinji unasema kile, lugha gongana!.Izo ni habari zenu nyinyi mbumbumbu fc, kocha wa Yanga Alisha toa onyo Kwa wachezaji wote, wanatakiwa wawajibike kwenye kazi Yao na kusema anafanya kazi na wachezaji watakao kuwepo.
Yanga imesha cheza zaidi ya mechi 6 bila Feitoto na zote wameshinda.
Yanga inao uwezo wa kucheza bila Fei Toto.
Ile sio Simba, akitolewa Chama uwanjani mashabiki nao wanatoka.
Hivi yanga anapata ushindi bila feitoto lakini maneno hayaishi, je angepoteza mechi hali ingekuaje sijui humu JFHili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wako kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.
Nawakumbusha tu Feitoto aliondoka Yanga anaongoza kwa point 4 na Sasa anaongoza kwa point 6.Endeleeni kuishi kwa kukariri tu, lakini hakuna wakuwakatia tamaa nyie, pumzi inakata siku sio nyingi, mwenyewe hapo ushindi wa 1-0 kila siku nakuona unavyoyetemeka..
Tuwekeeni video au audio yake akiongea hayo manenoSalaam!
Kumbe ndio maana kila siku wanahangaika kumuandikia barua za kubembeleza ili arudi utopolo, pamoja na kushirikiana na wale wanasiasa wanaoongoza mpira wetu pale viwanja vya Karume.
Sasa Nabi kaona isiwe tabu, ameamua kumwaga mboga kabisa na ugali, anadai anapata tabu kubadilisha mfumo licha ya wachezaji wote alionao, kisa Fei Toto hayupo!.
Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wake kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.View attachment 2495470
KUjipa moyo imo ila hii yako ni kujipa huku ubongo ukiwa umejaa funza,sioni uchezaji wa makolo unaompa Yanga presha maana na uhakika Yanga ana pointi zake 3 dhidi ya makolo na kwa azam hivyo hivyo atamfunga tena kolosEndeleeni kuishi kwa kukariri tu, lakini hakuna wakuwakatia tamaa nyie, pumzi inakata siku sio nyingi, mwenyewe hapo ushindi wa 1-0 kila siku nakuona unavyoyetemeka..
Alisema kijana mmoja wa mwekezaji wetu Mwamedi, huku akinywa kinywaji chake pendwa cha Mo energy. 😃Mnyama ni kukaza buti tu, hawa jamaa siku sio nyingi pumzi itakata ..
Ungehamishia hizi nguvu kwenye klabu yenu mpunguze gap la point kwanzaNashangaa mashabiki mnaleta ujuaji, wakati bosi wenu uwanjani.anaumwa kichwa!
Siku ikifika msije kumgeukia mumtoe masikio...
Tokea fei aondoke yanga kapoteza mechi ngapi? Yanga aimtegemei mchezaji mmoja ndio maana wanaendelea kukusanya point na nyie Ngada fc kwakuwa vichwa vyenu ni hewa mmebaki kuokoteza visababu vya ovyo ovyo ili mjifariji, Uyo Nabi kuna kitu alikuwa anamaanisha kiufundi na akumsema fei toto peke yake bali alimsema na Aucho ambaye ni majeruhi, kwa kocha yeyote uwa anao wachezaji anaokuwa amewatengeneza kulingana na mfumo wake ivyo anapokosekana mmoja lazima aanze kutengeneza upya mchezaji mwingine atakayeingia kwenye mfumo na kuuelewa haraka jambo ambalo sio jepesi kivile, ndio maana anapokosekana chama uko kwenu mnabaki kutukana matusi kwakuwa mnajua ndio tegemeo lenu na anaingia vizuri kwenye mfumo wa kocha, Sasa unapoleta porojo za kijinga kama hizi na kupotosha alichomaanisha kocha unabaki kuwa kituko tu kwa waelewaNashangaa mashabiki mnaleta ujuaji, wakati bosi wenu uwanjani.anaumwa kichwa!
Siku ikifika msije kumgeukia mumtoe masikio...
Mechi 9 nyingi sana, hapo zinahitajika mechi mbili tu mtetemeke kisha mtupishe pale juu..Nawakumbusha tu Feitoto aliondoka Yanga anaongoza kwa point 4 na Sasa anaongoza kwa point 6.
Haiitaji akili kubwa kuona wapi wameathirika na kuondoka kwa Feitoto maana msimamo unajieleza
Nawakumbusha Tena Zimabaki mechi 9 View attachment 2495565
Unakariri sana, Simba anakuja taratibu, kuwa na mpinzani anayeshinda goli moja kila siku kukata tamaa ni kosa kubwa sana..KUjipa moyo imo ila hii yako ni kujipa huku ubongo ukiwa umejaa funza,sioni uchezaji wa makolo unaompa Yanga presha maana na uhakika Yanga ana pointi zake 3 dhidi ya makolo na kwa azam hivyo hivyo atamfunga tena kolos
Tatizo Nabi amekiri akili yake imesimama hajui cha kufanya, Fei ndio alishika funguo za uto...Sio kwa Fei tu…!!! Mchezaji YEYOTE mzuri akiondoka, LAZIMA MFUMO UTABADILIKA TU…!!
Ila ni rahisi Yanga kuenda sawa na mfumo mpya kwa sababu wachezaji wa zamani na HAWANA KAULI YA MWISHO wapo. Ila kwa Simba ni Ngumu kwa sababu mwenye kauli ya mwisho ndio MPYA…!!!
Fei kaondoka na magoli yake, siku hizi kila siku mnashinda 1-0 tena mengine mnapata bahati jamaa wanajifunga[emoji3][emoji3][emoji3]Tokea fei aondoke yanga kapoteza mechi ngapi? Yanga aimtegemei mchezaji mmoja ndio maana wanaendelea kukusanya point na nyie Ngada fc kwakuwa vichwa vyenu ni hewa mmebaki kuokoteza visababu vya ovyo ovyo ili mjifariji, Uyo Nabi kuna kitu alikuwa anamaanisha kiufundi na akumsema fei toto peke yake bali alimsema na Aucho ambaye ni majeruhi, kwa kocha yeyote uwa anao wachezaji anaokuwa amewatengeneza kulingana na mfumo wake ivyo anapokosekana mmoja lazima aanze kutengeneza upya mchezaji mwingine atakayeingia kwenye mfumo na kuuelewa haraka jambo ambalo sio jepesi kivile, ndio maana anapokosekana chama uko kwenu mnabaki kutukana matusi kwakuwa mnajua ndio tegemeo lenu na anaingia vizuri kwenye mfumo wa kocha, Sasa unapoleta porojo za kijinga kama hizi na kupotosha alichomaanisha kocha unabaki kuwa kituko tu kwa waelewa
Mmeshidwa nini kwenye hizo mechi 21 mje muweze hizi 9?Mechi 9 nyingi sana, hapo zinahitajika mechi mbili tu mtetemeke kisha mtupishe pale juu..
Na kama kocha wenu ameshaanza kutetemeka..... kama nawaona vile...