Salaam!
Kumbe ndio maana kila siku wanahangaika kumuandikia barua za kubembeleza ili arudi utopolo, pamoja na kushirikiana na wale wanasiasa wanaoongoza mpira wetu pale viwanja vya Karume.
Sasa Nabi kaona isiwe tabu, ameamua kumwaga mboga kabisa na ugali, anadai anapata tabu kubadilisha mfumo licha ya wachezaji wote alionao, kisa Fei Toto hayupo!.
Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wake kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.
View attachment 2495470