Kwa kauli yake hii, Nabi akiri Fei Toto alikuwa tegemeo Jangwani

Kwa kauli yake hii, Nabi akiri Fei Toto alikuwa tegemeo Jangwani

Unakariri sana, Simba anakuja taratibu, kuwa na mpinzani anayeshinda goli moja kila siku kukata tamaa ni kosa kubwa sana..
Mechi ya mwisho dom city wakiwa pungufu mlishinda goli ngapi?halafu angalia mfumo wa timu zikikutana na Yanga,uwa zinakuja kutafuta droo nd ndio maana zinachezea chini,ukifunguka dhidi ya Yanga kama prison au dom walivyofunguka dhidi yenu tena wakiwa pungufu watachezea hata goli 10,na ndio maana timu zote zilizojaribu kuweka mpira chini zilifungwa zaidi ya goli 2,singida na azam wanajua kilichowakuta,juzi makolo mliomba mpira uishe na dom city tena wakiwa pungufu
 
Mechi 9 nyingi sana, hapo zinahitajika mechi mbili tu mtetemeke kisha mtupishe pale juu..

Na kama kocha wenu ameshaanza kutetemeka..... kama nawaona vile...
Yanga anatakiwa ashinde mechi saba tu zinazofuatana. Anakuwa katangaza ubingwa
 
Mechi ya mwisho dom city wakiwa pungufu mlishinda goli ngapi?halafu angalia mfumo wa timu zikikutana na Yanga,uwa zinakuja kutafuta droo nd ndio maana zinachezea chini,ukifunguka dhidi ya Yanga kama prison au dom walivyofunguka dhidi yenu tena wakiwa pungufu watachezea hata goli 10,na ndio maana timu zote zilizojaribu kuweka mpira chini zilifungwa zaidi ya goli 2,singida na azam wanajua kilichowakuta,juzi makolo mliomba mpira uishe na dom city tena wakiwa pungufu
Mimi nina kocha mgeni ndio anai set timu, hivyo kushinda 1-0 haiwezi kuwa kesi hata kidogo, sio nyie na Nabi wenu ana miaka karibia mitatu ajabu bado analia kumkosa mchezaji mmoja!

Timu kupaki bus sio sababu, ushindi mwembamba kwenu ni tabia yenu, mechi ngapi mlizoshinda goli zaidi ya tatu tangu msimu uanze?!
 
Salaam!

Kumbe ndio maana kila siku wanahangaika kumuandikia barua za kubembeleza ili arudi utopolo, pamoja na kushirikiana na wale wanasiasa wanaoongoza mpira wetu pale viwanja vya Karume.

Sasa Nabi kaona isiwe tabu, ameamua kumwaga mboga kabisa na ugali, anadai anapata tabu kubadilisha mfumo licha ya wachezaji wote alionao, kisa Fei Toto hayupo!.

Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wake kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.View attachment 2495470
Muda utaongea tu...
 
Sasa ndio mpaka akashinde uwanjani, sio kuamdika tu JF!
Mimi nimeweka sawa tu kuwa sio mechi tisa ni mechi saba tu zinazofuata ashinde atakuwa ametangaza ubingwa. Hizi ni hesabu za makaratasi tu
 
Screenshot_20230126-134621.png

Wewe kolo endelea kukaza fuvu
 
Mimi nina kocha mgeni ndio anai set timu, hivyo kushinda 1-0 haiwezi kuwa kesi hata kidogo, sio nyie na Nabi wenu ana miaka karibia mitatu ajabu bado analia kumkosa mchezaji mmoja!

Timu kupaki bus sio sababu, ushindi mwembamba kwenu ni tabia yenu, mechi ngapi mlizoshinda goli zaidi ya tatu tangu msimu?!
Endelea kuota
 
Back
Top Bottom