Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huyu dada jana alitumia lugha kali sana dhidi ya kigogo mmoja kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu matibabu ya Tundu Lissu huu ukiwa ni muendelezo tu wa namna ambavyo amekuwa akiwachana hawa watu.
Sasa leo kaibuka mwingine(DC mmoja) na nina amini Mange atamchana tu nae kama alivyowachana maboss wake.
Ndugu zangu hawa wenzetu wamekosa utu kabisa hivyo hawastahili heshima yoyote na anachofanya Mange ni size yao kabisa.
Keep it up dada!