Kwa kejeli hizi,Mange Kimambi huwa yuko sahihi sana katika lugha kali anazotumia kuwajibu

Kwa kejeli hizi,Mange Kimambi huwa yuko sahihi sana katika lugha kali anazotumia kuwajibu

Lkn usisahau huyo huyo Mwanamke ndiye aliyetuambia Lowasa kajinyea na kuweka picha yake suruali ikiwa imelowa matakoni mitandaoni, hivyo wee mwambie keep it up siku ikifika akamgeukia Babako Mbowe usianze kulia lia hapa!
[emoji2] [emoji2] wanajifanya awajui mkuu
 
Huyu dada jana alitumia lugha kali sana dhidi ya kigogo mmoja kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu matibabu ya Tundu Lissu huu ukiwa ni muendelezo tu wa namna ambavyo amekuwa akiwachana hawa watu.

Sasa leo kaibuka mwingine(DC mmoja) na nina amini Mange atamchana tu nae kama alivyowachana maboss wake.

Ndugu zangu hawa wenzetu wamekosa utu kabisa hivyo hawastahili heshima yoyote na anachofanya Mange ni size yao kabisa.

Keep it up dada!
She deserves kutumia lugha kali kutokana na aina ya viongozi tulionao.... Yaani sijui wamerogwa??? Majibu yao ni mepesi kwenye hoja nzito [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ....shame on them [emoji48] [emoji48] [emoji48] [emoji48] [emoji48]
 
Ngoja siku mbowe atakavyodhalilushwa na huyo kah.aba kama alivyomdhalilisha Lowasa.

Ni mpumbav pekee anaeweza kumsapoti mange kwa matusi yake dhidi ya viongozi.

Acha upumbavu ww!!!
Hanaga undugu Hugo muda utaongea .ni upuuzi kumshabikia Huyo Dada.
 
Ni punguani anayeweza kuyanyenyekea matusi na kejeli zinazotolewa na wanaojifanya miungu watu.

Umeshindwa kujua kwann raisi analindwa lkn ukoo wenu mzima hamlindwi wkt ni wengi
Acha utaahira ww tambua kuwa Raisi ni Taasisi...usifikiri ni makalio Yale hata babaako anayo.
 
Tetemeko lililotetemesha michango ya wahanga wa Kagera uliliteteaje,si shame hiyo?
Udc kweli umevamiwa! Na wewe ulikuwa unabeep au?
Mkuu tafadhali sana unanitolea mimi povu au hapi?

Please usinifaninishe na watu kam hao wanafiki wasio na chembe hta ya aibu

Kwanza niombe radhi ndugu kunihusisha na huyo bwege
 
kwa kauli hizi za wanafisiemu kweli they deserve matusi ya mange, angalia uyo mwenzawazimu mwingine wa kinondon alichoandika hapo
 
Mkuu tafadhali sana unanitolea mimi povu au hapi?

Please usinifaninishe na watu kam hao wanafiki wasio na chembe hta ya aibu

Kwanza niombe radhi ndugu kunihusisha na huyo bwege
Hiyo ni kwa DC uchwara.Samahani sana kama umenielewa hivyo.Suikuwa na nia hiyo.
 
Huyu dada jana alitumia lugha kali sana dhidi ya kigogo mmoja kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu matibabu ya Tundu Lissu huu ukiwa ni muendelezo tu wa namna ambavyo amekuwa akiwachana hawa watu.

Sasa leo kaibuka mwingine(DC mmoja) na nina amini Mange atamchana tu nae kama alivyowachana maboss wake.

Ndugu zangu hawa wenzetu wamekosa utu kabisa hivyo hawastahili heshima yoyote na anachofanya Mange ni size yao kabisa.

Keep it up dada!
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom