HayakuhusuIle kampeni ya kumchangia Msemaji wenu Mange iliishia wapi
Na app yake imefikisha kiasi gani mpaka sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HayakuhusuIle kampeni ya kumchangia Msemaji wenu Mange iliishia wapi
Na app yake imefikisha kiasi gani mpaka sasa
Hahaaa kumbe inakuumaKumshabikia Mangi ni sawa na kumshangilia Mwendawazimu anayemtukana jirani yako, siku akikugeukia wewe ndio unaona kumbe inauma.
[emoji2] [emoji2] wanajifanya awajui mkuuLkn usisahau huyo huyo Mwanamke ndiye aliyetuambia Lowasa kajinyea na kuweka picha yake suruali ikiwa imelowa matakoni mitandaoni, hivyo wee mwambie keep it up siku ikifika akamgeukia Babako Mbowe usianze kulia lia hapa!
She deserves kutumia lugha kali kutokana na aina ya viongozi tulionao.... Yaani sijui wamerogwa??? Majibu yao ni mepesi kwenye hoja nzito [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ....shame on them [emoji48] [emoji48] [emoji48] [emoji48] [emoji48]Huyu dada jana alitumia lugha kali sana dhidi ya kigogo mmoja kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu matibabu ya Tundu Lissu huu ukiwa ni muendelezo tu wa namna ambavyo amekuwa akiwachana hawa watu.
Sasa leo kaibuka mwingine(DC mmoja) na nina amini Mange atamchana tu nae kama alivyowachana maboss wake.
Ndugu zangu hawa wenzetu wamekosa utu kabisa hivyo hawastahili heshima yoyote na anachofanya Mange ni size yao kabisa.
Keep it up dada!
Wanatamani wammalize.Hahaaa kumbe inakuuma
Hanaga undugu Hugo muda utaongea .ni upuuzi kumshabikia Huyo Dada.Ngoja siku mbowe atakavyodhalilushwa na huyo kah.aba kama alivyomdhalilisha Lowasa.
Ni mpumbav pekee anaeweza kumsapoti mange kwa matusi yake dhidi ya viongozi.
Acha upumbavu ww!!!
Acha utaahira ww tambua kuwa Raisi ni Taasisi...usifikiri ni makalio Yale hata babaako anayo.Ni punguani anayeweza kuyanyenyekea matusi na kejeli zinazotolewa na wanaojifanya miungu watu.
Umeshindwa kujua kwann raisi analindwa lkn ukoo wenu mzima hamlindwi wkt ni wengi
Mangi ni mgonjwa wa akili, si sawa kushabikia kila upuuzi anaoufanya.
Mkuu nilikuwa nakuonyesha upumbavu wa hawa watuIshu ya kibiti hata bungeni ilikuwa inakatazwa kuongelewa..
Sasa we paza sauti kuhusu kibiti ukasaidie uchunguzi..
Mkuu tafadhali sana unanitolea mimi povu au hapi?Tetemeko lililotetemesha michango ya wahanga wa Kagera uliliteteaje,si shame hiyo?
Udc kweli umevamiwa! Na wewe ulikuwa unabeep au?
Hiyo ni kwa DC uchwara.Samahani sana kama umenielewa hivyo.Suikuwa na nia hiyo.Mkuu tafadhali sana unanitolea mimi povu au hapi?
Please usinifaninishe na watu kam hao wanafiki wasio na chembe hta ya aibu
Kwanza niombe radhi ndugu kunihusisha na huyo bwege
Naunga mkono hojaHuyu dada jana alitumia lugha kali sana dhidi ya kigogo mmoja kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu matibabu ya Tundu Lissu huu ukiwa ni muendelezo tu wa namna ambavyo amekuwa akiwachana hawa watu.
Sasa leo kaibuka mwingine(DC mmoja) na nina amini Mange atamchana tu nae kama alivyowachana maboss wake.
Ndugu zangu hawa wenzetu wamekosa utu kabisa hivyo hawastahili heshima yoyote na anachofanya Mange ni size yao kabisa.
Keep it up dada!
Ile kampeni ya kumchangia Msemaji wenu Mange iliishia wapi
Na app yake imefikisha kiasi gani mpaka sasa
Mada dhaifu km hizi zinahitaji tujue jinsia ya aliyeitoa kabla hatujaanza kuchangia. Km ni mwanaume tumshauri mapema asije akakumbwa na madhara zaidiJinsia inahusiana vipi na hii mada
Haina mbaya mkuu pamoja sanaHiyo ni kwa DC uchwara.Samahani sana kama umenielewa hivyo.Suikuwa na nia hiyo.