Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mtoa mada una jinsia ya kike ama ya kiume?
uko vizuri upstairsMtoa mada una jinsia ya kike ama ya kiume?
Hongera kwa kuhukumu wengine, unamnyooshea kidole mwenzio. Inabidi upimwe mkojoAna jinsi(a) kama ya baba yako,vipi unataka akuoe?Mmeshindwa kujibu hoja sasa mnashindana kuleta vihoja!Wale wanaoitwa wezi wetu waliletwa na anayewaita wezi halafu mnatuhadaa mnapambana na wezi huku mkiwapiga risasi wanaozikosoa sanaa zenu.
UKWELI MTUPUHuyu dada jana alitumia lugha kali sana dhidi ya kigogo mmoja kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu matibabu ya Tundu Lissu huu ukiwa ni muendelezo tu wa namba ambavyo amekuwa akiwachana hawa watu.
Sasa leo kaibuka mwingine(.DC mmoja) na nina amini Mange atamchana tu nae kama alivyiwachana maboss wake.
Ndugu zangu hawa wenzetu wamekosa utu hivyo hawastahili heshima yoyote na anachofanya Mange ni size yao kabisa.
Keep it up dada!
WivuIle kampeni ya kumchangia Msemaji wenu Mange iliishia wapi
Na app yake imefikisha kiasi gani mpaka sasa
Ngoja siku mbowe atakavyodhalilushwa na huyo kah.aba kama alivyomdhalilisha Lowasa.Huyu dada jana alitumia lugha kali sana dhidi ya kigogo mmoja kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu matibabu ya Tundu Lissu huu ukiwa ni muendelezo tu wa namba ambavyo amekuwa akiwachana hawa watu.
Sasa leo kaibuka mwingine(.DC mmoja) na nina amini Mange atamchana tu nae kama alivyiwachana maboss wake.
Ndugu zangu hawa wenzetu wamekosa utu hivyo hawastahili heshima yoyote na anachofanya Mange ni size yao kabisa.
Keep it up dada!
Huyu dada jana alitumia lugha kali sana dhidi ya kigogo mmoja kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu matibabu ya Tundu Lissu huu ukiwa ni muendelezo tu wa namba ambavyo amekuwa akiwachana hawa watu.
Sasa leo kaibuka mwingine(.DC mmoja) na nina amini Mange atamchana tu nae kama alivyiwachana maboss wake.
Ndugu zangu hawa wenzetu wamekosa utu hivyo hawastahili heshima yoyote na anachofanya Mange ni size yao kabisa.
Keep it up dada!
Dogo relax naona unafuatilia sana huyu binti utapata pressure mlizoea watanzania waoga wa kukaa kimya.Ile kampeni ya kumchangia Msemaji wenu Mange iliishia wapi
Na app yake imefikisha kiasi gani mpaka sasa
HayayakuhusuIle kampeni ya kumchangia Msemaji wenu Mange iliishia wapi
Na app yake imefikisha kiasi gani mpaka sasa
Huongea vitu kwa wakati. Huo wakati wa lowasa ulishapitaLkn usisahau huyo huyo Mwanamke ndiye aliyetuambia Lowasa kajinyea na kuweka picha yake suruali ikiwa imelowa matakoni mitandaoni, hivyo wee mwambie keep it up siku ikifika akamgeukia Babako Mbowe usianze kulia lia hapa!
Mangi ni mgonjwa wa akili, si sawa kushabikia kila upuuzi anaoufanya.