Kwa kejeli hizi,Mange Kimambi huwa yuko sahihi sana katika lugha kali anazotumia kuwajibu

Nimetoa tahadhari tu, Kibaolojia Mwanamke hana msimamo leo rafiki yako kesho anakugeuka, kwa sababu Mwanamke huongozwa na hisia, hivyo ipo siku mtamtibua tu hlf awafungulie matusi!
Hahahahahaahha ila hata ww utakua unamkubali kiaina
 
Siku hizi Mange ndo msemaji wa cdm na malipo kwa mwezi wanamlipa. Just imagine picha za lissu icu pale general, mange alizipataje kama hakutumiwa na mtu mzito cdm
 
Siku hizi Mange ndo msemaji wa cdm na malipo kwa mwezi wanamlipa. Just imagine picha za lissu icu pale general, mange alizipataje kama hakutumiwa na mtu mzito cdm
Ni msemaji wa wote hata enzi zile alikua msemaji wa ccm. Muwe wapole its our turn
 
Hapi mbona wauaji walikuwa wanawatuhumu waliokaa kuwa walipora mikaa na mbao zao?.
 
Kuchana ndio nini?
 
Kajojo bana,wasemaji wa ccm wanafahamika,sema alikua vuvuzela wa kujitolea cheki baada ya kukosa ulaji(vyeo alivyotaka nini kikatokea)mbona hajaweka ushahidi wa kuajiriwa na ccm baada ya kunyimwa ulaji.

Ila cdm haina msemaji kila mtu kajipachika cheo hicho wakiongozwa na jemedar wao mange
Ni msemaji wa wote hata enzi zile alikua msemaji wa ccm. Muwe wapole its our turn
 
Ana jinsi(a) kama ya baba yako,vipi unataka akuoe?Mmeshindwa kujibu hoja sasa mnashindana kuleta vihoja!Wale wanaoitwa wezi wetu waliletwa na anayewaita wezi halafu mnatuhadaa mnapambana na wezi huku mkiwapiga risasi wanaozikosoa sanaa zenu.
Malofa @ work!
 
Mwenyew kahaba hajajuwa mzazi wake na anaudha mbunye huko sasa wew unategemea awe na hadabu??
 
Hahaaa mwache tuu awasemee maana yuko vizuri upstairs
 
Mange levo nyingine ile! Ana uwezo mkubwa wa kuona mbali. Alisema huu utawala utakuja kubadiri katiba tayar kampen zimeanza. Namkubi mnoo japo sipend lugha yake ya matus
Katiba gani imebadilishwa tayari?? Ao naww ni kahaba kama yeye.
 
Sijui kwanini Wakuu wengi wa wilaya ni watoto wa watu. Maana kama DC hawezi kutofautisha Tundu Lissu na watu wa kawaida lazima atakuwa si ridhiki
 
Mwenyew kahaba hajajuwa mzazi wake na anaudha mbunye huko sasa wew unategemea awe na hadabu??
Kweli acha tuu Mange aendelee kuwakomesha msiojielewa maana hata kuandika hujui utamjua kweli au kumuelewa? 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…