Kwa kianzio cha bajeti ya 25M, naweza kufikia hatua gani ujenzi wa nyumba ya vyumba 4.

Mimi nakusapoti mkuu jenga kitu ambacho moyo wako utaridhika ili kuepuka kurudiarudia kujenga,pambana nayo hivyo siku ukija kumaliza basi akili itatulia haytawaza tena kuumiza kichwa kujenga tena.
Ila kwenye finishing unatakiwa ujipange sana mkuu,kujenga pagale na kuezeka ni rahisi sana
Sawa mkuu.
Hiyo hatua tunapambana nayo mbele kwa mbele mtu ukiwa ushahamia kabisa
 
mkuu room 4 ujengee tofar 3500? sirias
utumie cement 100 sirias, unajenga ama unapaka paka cement.

kwa maelezo ya mtoa mada nyumba yake inataka SPACE yaan room kubwaa, siting ilioshiba
Kwani mtu akisema kubwa, we unachukuliaje? Ametaja vipimo mpaka uogope? Vyumba vitakuwa na ngapi, 3.6x3.9? 4Ă—4? Sebule itakuwa ngapi, 7Ă—7?

Tofali 3,500 ni chache? Inategemea, labda kama unafanya castle!

Cement mifuko 100 ni michache? Kwani unafyatulia tofali?

Chukulia nyumba ina 14 Ă— 16
  • Tofali nyingi sana zitakuwa 4,000, kozi 15 kuanzia msingi, na hapa ni hujakata matundu ya milango na madirisha.
  • Cement mifuko 80 max, boma linasimama.

Sasa, nyumba ya vipimo vya 14Ă—16 ni kuuubwa tu.

Nimeone nyumba yenye ukubwa wa 18m Ă— 19m, kwenye mteremko kidogo, imeingia tofali 6,500; upande mmoja wa msingi ziliingia kozi 12.
  • Zingatie hiyo 18Ă—19 kuwa sio kiwanja, ni nyumba!
  • Kiwanja cha 18Ă—19 unatoa nyumba ya room 3 na parking space unapata!

So, bado naamini mambo sio magumu hivyo unavyoona!
 
Heri za Sikukuu wana jamvi.

Mwaka ndio huo umekatika, presha imeanza kupanda na kushuka kwa kuukabili mwaka ujao.

Kwa upande wangu ninapla kuukabili mwaka ujao mapema iwezekavyo kwa kazi ya kuushtua ujenzi wa nyumba ya kuishi.

Nyumba itakayokuwa na vyumba 4:

Chumba cha kwanza Master, hiki naplan kiwe na ukubwa wa kutosha maana ndio kitakuwa cha Baba/Mama mwenye nyumba. Humo angalau pawe na nafasi ya kuweka kabati la nguo, meza kwa ajili ya mambo ya kawaida kama kujisomea, dressing table n.k

Chumba cha Pili, kitakuwa cha wageni wa jinsia kike, hiki hakuna haja ya kuwa master. Watatumia public toilet/washaroom

Chumba cha tatu, kinaweza kuwa master/ sio master, kitatumiwa na watoto pamoja na msaidizi wa kazi(Dada). Hiki mnaweza kunishauri zaidi namna kiwe na sifa zipi.

Chumba cha nne, kitakuwa sio master, kwa ajili ya watoto wa kiume na wageni wa kiume.

Sifa zingine za nyumba:

-Sitting room yenye ukubwa wa kutosha

-Dinning, yenye ukubwa wa kawaida tu maana sio ya kukaa sana, watu watakaa Sitting room.

-Jiko, chenye nafasi cha kuweza kuweka vitu muhimu vya humo jikoni au niseme vitu vya kisasa.

- Store

-Public toilet/washroom.

Location ni Dodoma.

Karibuni kwa mawazo na ushauri!
Unahamia na kubakiza finishing ndogo ndogo
 
Wazo lako ni zuri sana mkuu.

Lakini kwa mtu ambaye ndio familia bado ni changa, yaani watoto bado wadogo na unaendelea kuzaa. Hapo hadi waje kuanza kuondoka wakajitegemee tukadirie ni kuanzia umri wa miaka 25.

Hivyo kwa kipindi cha miaka 25 watakuwa nyumbani na inatakiwa pawe na nafasi ya kueleweka. Sio ukisikia wageni wanakuja unaanza kukuna kichwa sababu ya sehemu ndogo hata kama anakuja kwa siku moja. Hili jambo huwa silipendi, napenda hata watu wakija uwe na uhuru mzuri wa kuaccomodate.

So, plan yangu hii ya kujenga nyumba nzuri yenye nafasi ya kutosha ndio naona inafaa.

Acha nijenge siku nikitangulia, watakaobaki watagawana mbao wenyewe
Kwa hili hitaji la moyo wako liko sahihi kabisa.
Kuna ngeni kuja unawaza.
Nimekupata basi komaa nakuomba ndoto yako ufanikishe maana Maisha yetu ni kula kulala na kuzaliana so ukiyapatia hayo matatu utastawi siku zote za maisha yako
 
Heri za Sikukuu wana jamvi.

Mwaka ndio huo umekatika, presha imeanza kupanda na kushuka kwa kuukabili mwaka ujao.

Kwa upande wangu ninapla kuukabili mwaka ujao mapema iwezekavyo kwa kazi ya kuushtua ujenzi wa nyumba ya kuishi.

Nyumba itakayokuwa na vyumba 4:

Chumba cha kwanza Master, hiki naplan kiwe na ukubwa wa kutosha maana ndio kitakuwa cha Baba/Mama mwenye nyumba. Humo angalau pawe na nafasi ya kuweka kabati la nguo, meza kwa ajili ya mambo ya kawaida kama kujisomea, dressing table n.k

Chumba cha Pili, kitakuwa cha wageni wa jinsia kike, hiki hakuna haja ya kuwa master. Watatumia public toilet/washaroom

Chumba cha tatu, kinaweza kuwa master/ sio master, kitatumiwa na watoto pamoja na msaidizi wa kazi(Dada). Hiki mnaweza kunishauri zaidi namna kiwe na sifa zipi.

Chumba cha nne, kitakuwa sio master, kwa ajili ya watoto wa kiume na wageni wa kiume.

Sifa zingine za nyumba:

-Sitting room yenye ukubwa wa kutosha

-Dinning, yenye ukubwa wa kawaida tu maana sio ya kukaa sana, watu watakaa Sitting room.

-Jiko, chenye nafasi cha kuweza kuweka vitu muhimu vya humo jikoni au niseme vitu vya kisasa.

- Store

-Public toilet/washroom.

Location ni Dodoma.

Karibuni kwa mawazo na ushauri!
CC: Alvin

CC: Alvajumaa
 
Vifaa vya ujenz vmepanda bei si utani, unahitaji kufanya tathimini kabla ya kuanza ujenzi usije ukaishia njiani. Kila la heri......pili mimi si muumini wa nyumba kubwa saana, watoto wakienda mnabaki ww na mkeo nyumba inawelemea. Jenga nyumba ya "saizi" hata kwa baadae ukiamua kuipangisha iskuletee changamoto ya kuja kuikata kati wakati hyo pesa ya kuikata kata huenda ungesimamisha chumba kingine cha uani kwaajili ya mabachela.
 
Nakubaliana na wazo lako la kutoa kuwa muumini wa nyumba kubwa, ila hili wazo lako naona linawafaa zaidi watu ambao tayari wana familia zilizosimama na wala si yule anayeanza au yuko mwanzo wa kujenga Familia.

Kuanzia sasa hadi mtoto wa kwanza aje aanze kujitegemea itapita miaka 25, sasa wakati akiwa nyumbani unataka tubanane kwenye nyumba ndogo maana atakuwa na wenzio pia(watoto wenzake), hili suala la kubaba ndio silitaki.

Nimeplan kujenga nyumba ya kueleweka then ishu ya kujenga iishe na zifuate issue zingine za maendeleo.
Kila mtu ana plan zake, hivyo hizi ndio plan zangu
 
Wee jenga nyumba kubwa watoto wenyewe siku hizi mpaka waje kutoka nyumbani wana miaka 30. So utamuwa nao home tuu hapo wana waya waya wakati wanatembeza bahasha.

Alafi sikukuu kama hivi wakija wanajiachia ndani ya mjengo wa dingi bwana. Nyumba vyumba vinne ni standard kabisaaa
 
Asante mkuu kwa kuunga mkono mawazo yangu
 
Back
Top Bottom