KWA KIBOKO WA WACHAWI PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA .ASKOFU EDWARD AMEPANUNUA

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂

ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH

BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇

"TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
 
Mungu wa kweli sabb wewe ni muamini wake 😄
 
Wagalatia mnatapeliwa kiboya sana.

Maghayo
Nakumbuka mazinge na timu yake walifurushwa msikiti wa sokoni mtwara baada ya kuanza kauli yake ya mashabi 50 wanaompenda Allah wapite mbele watoe laki moja,, baadae ikaja mashababi 100 watoe 50000 baadae ikafikia mashababi wakutoa 5000, chakushangaza pesa zote akachukua yeye,, akasimama mtu akahoji hizo pesa unapeleka wapi mazinge aligoma sana ila watu wakaandamana kuwa hatoki na pesa
 
Hana lolote anataka mazombie ya kiboko ya wachawi.

Ila nimempenda,anajua biashara.ni sawa na kununua nyumba yenye wapangaji ndani
 
Nakumbuka mazinge na timu yake walifurushwa msikiti wa sokoni mtwara baada ya kuanza kauli yake ya mashabi 50 wanaompenda Allah wapite mbele watoe laki moja,, baadae ikaja mashababi 100 watoe 50000 baadae ikafikia mashababi wakutoa 5000, chakushangaza pesa zote akachukua yeye,, akasimama mtu akahoji hizo pesa unapeleka wapi mazinge aligoma sana ila watu wakaandamana kuwa hatoki na pesa
Unaweza kutuwekea ushahidi wa video ?
 
PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂

ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH

BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇

"TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
Wanamtumikia mungu wa biziness hao wote
 
Back
Top Bottom