mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 708
- 445
Achana naye mgalatia huyo anatafuta balansi,..akatafute miujiza kawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno hayo umesoma kitabu gani?Dini ni mfupa waliotupiwa watu weusi wahangaike nao
God exist but religions never exist
Watu hawataki mchezo mbele ya pesa yakhee.Nakumbuka mazinge na timu yake walifurushwa msikiti wa sokoni mtwara baada ya kuanza kauli yake ya mashabi 50 wanaompenda Allah wapite mbele watoe laki moja,, baadae ikaja mashababi 100 watoe 50000 baadae ikafikia mashababi wakutoa 5000, chakushangaza pesa zote akachukua yeye,, akasimama mtu akahoji hizo pesa unapeleka wapi mazinge aligoma sana ila watu wakaandamana kuwa hatoki na pesa
Garbage in Garbage Out (GIGO)PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂
ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH
BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇
"TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI
Sema watanzania
Umetoka Mkojo umeingia Kinyesi.PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂
ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH
BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇
"TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
Sio kweli bwamdogo muulize mtu yeyote anaeswali msikiti wa soko kuu mtwara au waulize wakina mazinge kama unajuana naoHao akina mazinge wanakuwa na video zao kwenye mihadhara na ndio nikahoji hiyo video iko wapi ?