Kwa Kiburi na Uharamia wa Watawala, Tujiandae kwa Hali Ngumu ya Uchumi

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Wenye macho, hawahitaji kuambiwa kuwa kuna giza nene kwa Tanzania linanyemelea kutokana na uharamia na kiburi cha watawala.

Mpaka sasa,

1. Tanzania imezuia visa za wachunguzi 10 kutoka mahakama ya Kimataifa ya uhalifu ya ICC. Wewe kama siyo mhalifu, unaogopa nini kuchunguzwa? Wewe kama siyo mhalifu, wakija wachunguzi si ndiyo ingekuwa nafasi yako nzuri ya kujisafisha? Kuwakataa wachunguzi, ni kukubali kuwa wewe ni mhalifu. Kitakachofuatia sasa, ni orodha ya wanaotakiwa kukamatwa na kupelekwa mahakama ya ICC. Kwa kiburi cha watawala, hawataenda, watabakia wamejifungua nchini.

2. Mkutano wa wazalishaji wa korosho Afrika uliotakiwa kufanyika Tanzania, umefutwa kwa sababu Tanzania siyo mahali salama. Hii ni dalili ya kuanza kutengwa, hadi na waafrika wenzetu.

3. Kama wageni wanaokuja kwenye mkutano tu wa nchi wazalishaji korosho, wanaona Tanzania ni mahali hatari, itakuwaje kwa watalii? Watalii wakiisusia Tanzania, huku utalii ukiwa chanzo no.1 cha pesa za kigeni, uchumi wa nchi utakuwaje?

Kwa sababu ya kiburi cha watawala, na kubobea kwao katika dhuluma na uvunjaji haki, yumkini Taifa litanyimwa misaada iliyozoeleka, itanyimwa mikopo, na pengine kuwekewa vikwazo, yatakapotokea hayo, hii nchi itakuwa duni kama ilivyo Zimbabwe kwa sasa. Nimewahi kuishi Cape Town, kila tax driver niliyemchukua ni Mzimbabwe, ukiongea naye, huko Zimbabwe alikuwa daktari, engineer, mwalimu, n.k., lakini kwa jinsi uchumi ukivyoharibika huko Zimbabwe, mtu anaona aheri akawe tax driver South Africa kuliko kuwa daktari Zimbabwe. Ukienda mahoteli makubwa ya South Africa, wahudumu wengi ni manesi na walimu wa kutoka Zimbabwe.

Watanzania tujiandae kulipia gharama ya uovu wa watawala wetu, uovu wa polisi na uovu wa CCM kwa ujumla. Tungebahatika kuwa na viongpzi wenye hekima, hakika hakuna damu ya mtanzania ingemwagika kwa sababu ya uchaguzi, bahati mbaya tumewapata watawala walioamua kuitupa hekima na utu shimoni.
 
Kwa tulipofikia hayo yote tunayastahili ili akili zirudi kwenye mihimili yake,Gzs wamajitoa sadaka ili tusifike huko,ila kwa hulka ya kenge tumetamani kushupaza shingo hadi ubongo uchungulienje ya fuvu za viziwi na vipofu wa kuigiza wa taifa hili,kisa utamu wa madaraka na rasilimali za taifa hili.
 
Wenye macho, hawahitaji kuambiwa kuwa kuna giza nene kwa Tanzania linanyemelea kutokana na uharamia na kiburi cha watawala.

Mpaka sasa,

1. Tanzania imezuia visa za wachunguzi 10 kutoka mahakama ya Kimataifa ya uhalifu ya ICC. Wewe kama siyo mhalifu, unaogopa nini kuchunguzwa? Wewe kama siyo mhalifu, wakija wachunguzi si ndiyo ingekuwa nafasi yako nzuri ya kujisafisha? Kuwakataa wachunguzi, ni kukubali kuwa wewe ni mhalifu. Kitakachofuatia sasa, ni orodha ya wanaotakiwa kukamatwa na kupelekwa mahakama ya ICC. Kwa kiburi cha watawala, hawataenda, watabakia wamejifungua nchini.

2. Mkutano wa wazalishaji wa korosho Afrika uliotakiwa kufanyika Tanzania, umefutwa kwa sababu Tanzania siyo mahali salama. Hii ni dalili ya kuanza kutengwa, hadi na waafrika wenzetu.

3. Kama wageni wanaokuja kwenye mkutano tu wa nchi wazalishaji korosho, wanaona Tanzania ni mahali hatari, itakuwaje kwa watalii? Watalii wakiisusia Tanzania, huku utalii ukiwa chanzo no.1 cha pesa za kigeni, uchumi wa nchi utakuwaje?

Kwa sababu ya kiburi cha watawala, na kubobea kwao katika dhuluma na uvunjaji haki, yumkini Taifa litanyimwa misaada iliyozoeleka, itanyimwa mikopo, na pengine kuwekewa vikwazo, yatakapotokea hayo, hii nchi itakuwa duni kama ilivyo Zimbabwe kwa sasa. Nimewahi kuishi Cape Town, kila tax driver niliyemchukua ni Mzimbabwe, ukiongea naye, huko Zimbabwe alikuwa daktari, engineer, mwalimu, n.k., lakini kwa jinsi uchumi ukivyoharibika huko Zimbabwe, mtu anaona aheri akawe tax driver South Africa kuliko kuwa daktari Zimbabwe. Ukienda mahoteli makubwa ya South Africa, wahudumu wengi ni manesi na walimu wa kutoka Zimbabwe.

Watanzania tujiandae kulipia gharama ya uovu wa watawala wetu, uovu wa polisi na uovu wa CCM kwa ujumla. Tungebahatika kuwa na viongpzi wenye hekima, hakika hakuna damu ya mtanzania ingemwagika kwa sababu ya uchaguzi, bahati mbaya tumewapata watawala walioamua kuitupa hekima na utu shimoni.
Hatutamruhusu mazafaka yeyote atufikishe huko. We will be dead before our country gets there!
 
Hali ya uchumi kufika 2030...itakuwa mbaya kiasi hata CCM wataona haya kurudi madarakani!

Na hamna atayebaki salama!
 
Si wanasema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki mbona sasa wanawazuia hao maafisa wa ICC?
 
Back
Top Bottom