Kwa kifupi tu Amber Heard hakumpenda Johnny Depp

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Waigizaji maarufu wa Hollywood Marekani Johnny Depp na Amber Heard ambao walifunga ndoa na kutalakiana wako mahakamani kusikiza kesi ambayo Johnny Depp akitaka fidia ya 50 m $ kutoka kwa Heard kwa kumuaribia career yake.

Johnny Depp ambae alipata umaarufu katika Sinema za Pirates of the Caribbean na Amber Heard Aquaman.

Huwezi kulazimisha mapenzi. Amber Heard aliamua kuoana na Johnny Depp kutafuta jina na umaarufu tu ili apate jina na j fursa kwenye kuigiza Hollywood.

Hakumpenda kabisa Johnny Depp. Alimdharau sana na kumuita mzee na kumuita you are not of my type.

Na iyo ikapelekea ndoa yao ya maigizo kuwa chungu. Kupigana kila wakati kutukanana kuumizana na kudhalilishana.

Ogopa kuoa au kufunga ndoa na mwanamke asiyekupenda.
 
Amber anapenda attention. Hata yule jamaa mwingereza uwa anareview magari yule mzee adui wa elon musk anasema hilo
 
hamna ka picha ka kunogesha uzi
1650995073705.png
 
Mwanaume ukiwa na hela huwezi kupata mwanamke sahihi hata siku moja lazima ataleta tamaa kama sio yeye basi marafiki zake watamjaza ujinga refer to,
Emanuel eboue
Didier Drogba
Mzee mengi .
Ya drogba sijaisikia, ilikuaje mkuu?
 
Captain Sparow naye alikua teja kupitiliza

Mke wa Willy Smith ndio mshenzi zaidi ya huyu alichoshwa na urahibu wa Captain
 
Back
Top Bottom