Kwa kifupi tu Amber Heard hakumpenda Johnny Depp

Kwa kifupi tu Amber Heard hakumpenda Johnny Depp

Huyo binti tangu alivyoachia kitandani kwa makusudi mimi sina hamu nae.
 
Yani mpka lawyer wake kuna mahali alipinga kauli zake mwenyewe dah [emoji1]

Ushahidi unaotolewa amber akishinda ni bahati mno halaf john anaonekana mkarimu sana
 
Lakini kale kabinti Amber Heard kana Drama sana na madharau. Halafu kanafiki
A good thing watu wamekashtukia..alimwaribia johnny kwa miaka kama mitano ila yeye yake utazikwa for a life time...case imemgeukia vibayaaa
 
John Deep na Will smith hata hawapishani sana matatizo yao.
Nampenda Wills ila kwenye issue ya matatizo Will kuna mengi amejitakia
Ni kama Jada analipiza upuzi uupuuzi mwingiiiiii, unajua alikuwa anaishi na mwanaume mwenzie at some point.
Lakini wamegeugana tu bana, mbona tu walisema ndoa yao ni open marriage.
John Deep kwa Amber alikuwa more victim aiseeh
 
Back
Top Bottom