Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Hiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.

Tumlaumu Waziri au Mwandishi?

Ina maana ndani ya Wizara nzima, hakuna anayekifahamu Kiingereza vizuri. Aibu kubwa sana hii, kwa nchi ambayo Kiingereza ni first official language, na ndiyo lugha inayotumika kufundishia masomo karibiu yote mara baada ya elimu ya msingi.
 
Nape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Hata elimu yake ya India kanunua! Mtu mwenye akili unaweza mtambua kwa ongea yake tu. Achilia mbali akili Nape ni mzinzi na mlevi mno hana maadili hata kidogo!! Ajabu hawa ndio watunga sera za kuifikisha Tanzania kaanani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…