Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Mimi nadhani Mhe. Nape kasaini tu ila draft ya barua imetoka kwa Ofisa Mwandamizi wa Wizara LAKINI yeye angefanya proof reading kabla ya kusaini. Structure ya barua haitamaniki. Masters?. No thank you.
Yaani Nape ndio afanye proof reading, wakati ndio kamfuata huyo jamaa mwenye afadhali aandike hiyo barua?!
 
Hiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.

Tumlaumu Waziri au Mwandishi?

Aisee, 🥱🥱🥱

Nimecheka sana jinsi ulivyoichambua na kuainisha makosa yote..

Hawa ndio aina ya viongozi tulionao.

Na Namna wanavyo - communicate kimakosa na jamii, moja kwa moja ni ishara na reflection halisi ya kuonesha utendaji na uendeshaji wa mambo katika serikali hii unavyofanyika kimakosa na kupelekea maamuzi mabovu yenye makosa makubwa na hatarishi ya umoja na amani yetu na mwisho wake kuumiza nchi na wananchi..!

This is absolutely very shameful...

I personally doubt kuwa, pengine hata hii taarifa imeandikwa huko huko Dubai, halafu Nape na mama yake Samia ignorantly wakapokea na kusaini tu kama mazuzu vile..

Shame on Nape, shame on madam president Samia Suluhu Hassan and shame on CCM...!!
 
Hiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.

Tumlaumu Waziri au Mwandishi?

Ndio maana nimekataa mtaala Mpya kutumia Kiswahili wakati Jumuiya ya Kimataifa inatumia Kingereza.

Hii taarifa alitakiwa aandike Zuhura Yunus na sio hao ma ps wa kina Nape,haya ndio matokeo yake sasa
 
Kuna paragraph ni pointless and wordness mfano ya 10 kama sikosea mhariri anajaribu kueleza kuwa upinzani unafanya debate freely and openly kuhusu serikali na miradi yake kama bandari, kitu ambacho hakuwa kufanyika kabla ya Samia kuwa rais.

Sijajua mwandishi analenga nini ila kwenye utawala wa kikiwete upinzani ulikuwa huru zaidi kuliko hata wakati huu. Utawala huu bado upo madarakani sioni sababu ya kujinasibu ilihali lengo la andiko lenyewe ni opression kwa watoa maoni.
 
Back
Top Bottom