Kwa kijana anayejitafuta kwa sasa ni bora ufugaji kuliko kilimo au biashara

Kwa kijana anayejitafuta kwa sasa ni bora ufugaji kuliko kilimo au biashara

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
1. Biashara zimeandamwa na makodi ya mamlaka na fremu ilihali uwezo wa ununuaji umepungua

2. Kilimo kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi na bei kuyumba

3. Mazao ya mifugo hutoa mbolea, nguvu kazi, chakula na bei yake haishuki daima hupanda mfano kuku bei ya 15000-20000 imedumu kwa miaka mingi.

4. Ufugaji rahisi kuanza hata kwa mtaji mdogo

5. Endelea nyingine
 
Ufugaji unategemea sana kilimo. Na ukilima ni kama umefanya kubeti kwa chochote kitakachopatikana iwe ni Faida au hasara.
 
Back
Top Bottom