Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wa kuendana nao ndio balaaa wanataka Hela mkuuHapana,atafute wa kuendana nae kwa wakati huo
Akipata pesa hapo ndiyo apambane na maslayqueen
Hapana,wapo ambao hawataki hata hizo hela....wao wanataka kuonekana wamepata bwana bassHao wa kuendana nao ndio balaaa wanataka Hela mkuu
Mmh kwenye mia moja yupo mmoja Tena ni weweHapana,wapo ambao hawataki hata hizo hela....wao wanataka kuonekana wamepata bwana bass
Naunga mkono hojaMahusiano naona kabisa ni uwekezaji mkubwa unaohitaji Muda PEsa na nguvu
Kijana tafuta njia ya kuondoa hisia zako kama mazoezi
Kwenda Kwa wahaya
Ila Achana na viumbe wanawake katika hatua zako za mwanzo za utafutaji
Nakubaliana na ww wanawake na pombe vinaweza kukatisha ndoto za mvulana anayetafuta pesa za kujenga maisha ya baadae.Kama hujawahi kutumia ni rahisi kushinda lakini kama umewahi kushiriki inakubidi ufanye juhudi za ziada.Unaweza kujikana mwenyewe au kupata ushauri kwa viongozi wa dini.Mahusiano naona kabisa ni uwekezaji mkubwa unaohitaji Muda PEsa na nguvu
Kijana tafuta njia ya kuondoa hisia zako kama mazoezi
Kwenda Kwa wahaya
Ila Achana na viumbe wanawake katika hatua zako za mwanzo za utafutaji
Hao wasio taka hela wamezikwa makaburi yapi mkuu?Hapana,wapo ambao hawataki hata hizo hela....wao wanataka kuonekana wamepata bwana bass
🤣🤣🤣🤣Hao wasio taka hela wamezikwa makaburi yapi mkuu?
Mwananyamala au Kinondoni?
Hapana,atafute wa kuendana nae kwa wakati huo
Akipata pesa hapo ndiyo apambane na maslayqueen
Hapo katika kwenda Kwa wahaya hapo sio sehemu sahihi kabisa.
Ni bora atafute MTU smart ambaye anajielewa au akae single.
Kwenda Kwa wahaya inaweza mpatia Addiction, Pamoja changamoto ngingine za kiroho.
IL swala la kwenda kwa wahaya nalipinga mzee sio salama Ata kidogo ni bora mazoezi au kujikeep busy kujipa ratiba pale Akili ikiwa idle ili kuondoka mawazo potofuMahusiano naona kabisa ni uwekezaji mkubwa unaohitaji Muda PEsa na nguvu
Kijana tafuta njia ya kuondoa hisia zako kama mazoezi
Kwenda Kwa wahaya
Ila Achana na viumbe wanawake katika hatua zako za mwanzo za utafutaji
Kweli kabisa pia watafute level zaoIL swala la kwenda kwa wahaya nalipinga mzee sio salama Ata kidogo ni bora mazoezi au kujikeep busy kujipa ratiba pale Akili ikiwa idle ili kuondoka mawazo potofu
Kweli kabisa pia watafute level zao
Mwezio yupo kazini eeeMzee baba nilikuwa na zama sana kwa wahaya kipindi fulani nilikuwa na mwonekano wa kawaida kwahyo kukubali wa na wasichana classic ilikua ni ngumu
Lakini nilicho observe ni kujitakia tu mikosi na mabalaa wale wanawake malaya hawana cha kupoteza imagine mtu ananyonya koni kwa 20k, haya je kanyonya ngapi
Hao hapana kwa umri wangu ni kujidhalilisha sijajipata bado lakini mzeeMwezio yupo kazini eee