Kwa kijana anayejitafuta kwenye maisha asijihusishe na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke yeyote

Mahusiano naona kabisa ni uwekezaji mkubwa unaohitaji Muda PEsa na nguvu

Kijana tafuta njia ya kuondoa hisia zako kama mazoezi
Kwenda Kwa wahaya

Ila Achana na viumbe wanawake katika hatua zako za mwanzo za utafutaji
Umeshapigwa na kitu kizito
 
Ukimwi, homa ya inni, buboni, Herpes nje nje
 
Nakuunga mkono mkuu ukiwa unaanza kujitafuta huwezi ukachanganya Mapenz hayo mambo yanaitaji pesa na mda na mifano ipo tunaiona mtaani mwanamke Hana huruma na wewe mtu atakae kuhurumia ni mama yako pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…