Kwa kikosi hiki, Brazil wasipobeba Kombe la Dunia naachana na mpira na JamiiForums natoka kabisa

Kwa kikosi hiki, Brazil wasipobeba Kombe la Dunia naachana na mpira na JamiiForums natoka kabisa

Mkuuu usijitoe ingawa ulikua unaingia PM kimya kimya haha....

Izi mambo zakidunia wala sio za kuweka nadhiri..
 
Una kipaji cha uanasiasa (kutosimamia ukisemacho). Huna tofauti na hao unaowasingizia kukupandisha chati hapa JF.
 
Back
Top Bottom