Lakini sio kama wale wauza sura wa argentina na mvuta madawa maradona.Ulifanya haraka sana kuwapamba hawa mabishoo,, ona sasa umeaibika bure mkuu 😀😀😀
Lakini sio kama wale wauza sura wa argentina na mvuta madawa maradona.
Matimu ya amerika kusini sasa ni kero wamejaza majina tu.😀😀😀 next time tutafanya sote vizuri kiongozi,, tuombe uzima!
Matimu ya amerika kusini sasa ni kero wamejaza majina tu.
HahahaaHahahahahaaaaa.....Usjitoe mkuu.
HeheheUna kipaji cha uanasiasa (kutosimamia ukisemacho). Huna tofauti na hao unaowasingizia kukupandisha chati hapa JF.