Kwa kikosi hiki, Brazil wasipobeba Kombe la Dunia naachana na mpira na JamiiForums natoka kabisa

Yaani wewe, acha mpira na toka kabisa jamii forum , Ujerumani Bingwa, time will tell.


Hongereni Wajerumani Kwa Kubeba Ubingwa tokea Hatua Ya Makundi... Kuna Kasentensi Munakatafsiri Vibaya eti "Time Will Tell" When?
 
Nahisi ushachoma mpaka jezi
 
Nimeipenda alafu mfungaji Bora ni Gabriel Jesus, mchezaji Bora wa mashindano Neymar jr


Mkuu Ulivuta Bangi Chooni?

Gabriel Jesus Kacheza Michezo Yote 5 lakini Kaishia na Zero goal

Neymar Kaibuka Mchezaji Bora Wa Mashindano Kwa Kudive na Kulialia na Refa.
 
Mpira sasa ivi upo ulaya timu za amerika kusini zote zimetolewa na tmu za ulaya.
 
Ingekuwa hii sawa palikuwa na watu wa kuwaamini kuwa watafanya sasa hawa wakujipamba na totto mwili mzima.
 
Hahahhahhahahahahhahahahahhaha


Nimecheka mpaka basi

World cup ni mpira sio majina

AHAHhahahahhhhhhhhhhhahhahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Mkuu britanicca nafikiri utakuwa umeacha kabisa ushabiki wa mpira na humu JF hutaonekana tena. Ha ha ha ha ha, pole mkuu, lakini kumbuka wakati mwengine unatakiwa kuweka akiba ya maneno yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…