Kwa kikosi hiki cha Simba kuna watu watakimbia

Kwa kikosi hiki cha Simba kuna watu watakimbia

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Hapa kuna hatihati ya kina JKT Tanzania kufa 10 bila hapa. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

1690112711980.jpg
 
Kwenye mbao una

Ally Salim
Kennedy Juma
Israel Mwenda
Abdallah
Chilunda
Duchu
Husseni
Kibu
Phiri
Bocco
Onana
Linganisha na wenzao benchi anakuwepo;
Metacha
Kibwana
Kibabage
Mkude
Fred
Bacca
Sure boy
Aziz Ki
Mzize
Nkane
Moloko
Skudu

First eleven;
Diarra
Lomalisa
Mwamnyeto
Kous yao
Mudathiri
Aucho
Pacome
Job
Musonda
Mahop
Nzegeli


Chambua upana wa vikosi na ubora wake kabla ya ligi kuanza
 
Linganisha na wenzao benchi anakuwepo;
Metacha
Kibwana
Kibabage
Mkude
Fred
Bacca
Sure boy
Aziz Ki
Mzize
Nkane
Moloko
Skudu

First eleven;
Diarra
Lomalisa
Mwamnyeto
Kous yao
Mudathiri
Aucho
Pacome
Job
Musonda
Mahop
Nzegeli


Chambua upana wa vikosi na ubora wake kabla ya ligi kuanza
Mnakikosi kizuri sana

Tukutane round ya 10 ya msimu tujue uelekeo wake upoje
 
Simba ina wachezaji, Yanga wana timu kwaiyo taabu iko palepale.
 
Back
Top Bottom