Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Takwimu za Asec mimosa ligi kuu
mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi
Huku upande wa simba mambo yako hivi.
Morrison
Lwanga- injury
Chama
Mugalu
kibu denis- injury
Hawa ni wachezaji watakao kosekana mechi ya shirikisho zidi ya Asec mimosa.
Mimi ni yanga damu ila Kusema kweli simba hawatoboi
Ndo mbinu zao hiziTutapulizia zile dawa zetu na kuhonga Marefa bila kusahau COVID.
Watatoboa wameshaandaa paka wa kutosha na kupulizia vyumba dawa Kama kawaida yao lakini bila ivyo awatoboi, nguvu zao zimebaki kwenye nguvu za giza lakini timu ya kucheza uwanjani awanaTakwimu za Asec mimosa ligi kuu
mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi
Huku upande wa simba mambo yako hivi.
Morrison
Lwanga- injury
Chama
Mugalu
kibu denis- injury
Hawa ni wachezaji watakao kosekana mechi ya shirikisho zidi ya Asec mimosa.
Mimi ni yanga damu ila Kusema kweli simba hawatoboi
Mbona wale Makirikiri Galaxy hujawaweka?Walikufa nkana,
Akafa al ahly,
Akafa fc platinum,
Wanaoteseka wako wapi?
Kwa nn uteseke ila baraka mpenja ana mikwara sana.
ASEC akipigwa msije mkabadilisha lugha na kuanza kusema ni timu mbovu. Nakumbuka Plateau watu waliiwekea takwimu za kuichapa Enyimba goli 5-0, lakini Simba ikaichapa kwao huko huko, lugha ikabadilika eti ni timu mbovuTakwimu za Asec mimosa ligi kuu
mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi
Fika wewe na rivers yako!Makolo hawafiki popote
Umepanic brother,!Watatoboa wameshaandaa paka wa kutosha na kupulizia vyumba dawa Kama kawaida yao lakini bila ivyo awatoboi, nguvu zao zimebaki kwenye nguvu za giza lakini timu ya kucheza uwanjani awana
Acha kutukumbusha aibu mliolitia taifa. Hatua ya awali tu , misukule out. Tena kwa kumwagiwa mbegu za kiume ndani na nje.Watatoboa wameshaandaa paka wa kutosha na kupulizia vyumba dawa Kama kawaida yao lakini bila ivyo awatoboi, nguvu zao zimebaki kwenye nguvu za giza lakini timu ya kucheza uwanjani awana