Kwa Kikosi hiki hatari cha Yanga SC, nisiwe mnafiki Simba SC tuna kazi na nawaona Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu na watafika mbali CAFCL

Kwa Kikosi hiki hatari cha Yanga SC, nisiwe mnafiki Simba SC tuna kazi na nawaona Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu na watafika mbali CAFCL

Ni ushauri tu kuwa mtibieni mchezaji wenu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app

Hapo kwenye USD 300,000 sisi Simba tutapewa mgao wa kiasi gani?

IMG-20220902-WA0035.jpg
 
1. Djigui Diara
2. Djuma Shaaban
3. Lomalisa Mutambala
4. Dickson Job
5. Yannick Bangala
6. Khalid Aucho
7. Bernard Morisson
8. Feisal Salum Fei Toto
9. Fiston Mayele
10. Stephan Fundi Aziz K
11. Tuisila Kisinda

Najua wana Simba SC Wenzangu hapa Jamiiforums mtanitukana sana leo ila Yanga SC Wamesajili Kimashindano na Kimkakati huku Simba SC tukiwa tumesajili Kishamba, Kipuuzi na Kienyeji.

Kazi tunayo tarehe 23 Oktoba, 2022 kwa Mkapa na naziona kama Goli 7 au 8 za Kufungwa kwa Kikosi chetu kilichojaa Mbilikimo ( Emolo ) Watupu.
Ni kweli Yanga Ina kikosi Bora na Cha ushindani historian haiibebi Yanga kimataifa ila kumfunga Simba bao 8 ni ndoto
 
Wakati huo huo mnamlinganisha mwenye misimu minne Chama na Aziz K
Anayemlinganisha chama na aziz ki ni mashabiki wa yanga walianza na aucho sasa hivi wamekuja kwa chama shabiki wa simba amlinganishe chama na ufunguo kwa lipi au ile kisa kampiga shabalala tobo
 
Back
Top Bottom