Ni kweli Yanga Ina kikosi Bora na Cha ushindani historian haiibebi Yanga kimataifa ila kumfunga Simba bao 8 ni ndoto1. Djigui Diara
2. Djuma Shaaban
3. Lomalisa Mutambala
4. Dickson Job
5. Yannick Bangala
6. Khalid Aucho
7. Bernard Morisson
8. Feisal Salum Fei Toto
9. Fiston Mayele
10. Stephan Fundi Aziz K
11. Tuisila Kisinda
Najua wana Simba SC Wenzangu hapa Jamiiforums mtanitukana sana leo ila Yanga SC Wamesajili Kimashindano na Kimkakati huku Simba SC tukiwa tumesajili Kishamba, Kipuuzi na Kienyeji.
Kazi tunayo tarehe 23 Oktoba, 2022 kwa Mkapa na naziona kama Goli 7 au 8 za Kufungwa kwa Kikosi chetu kilichojaa Mbilikimo ( Emolo ) Watupu.
Huna habari au?TUISILA KISINDA vipi mbona umemtaja?
Kolo mwenzangu tukubali tu, hatuna chetu tena kolo mwenzangu
Sjui anaishi wapi jamaa.Hamia dijitali Mkurugenzi! Siku zote huwa unakuwa ni mtu wa mwisho humu jukwaani kupata taarifa.
Tuisila Kisinda ni Mwananchi.
Kolo babako usinishirikishe upuuzi wenu wa UtopoloKolo mwenzangu tukubali tu, hatuna chetu tena kolo mwenzangu
Kwani Mo si amewekeza over 20b tsh ama aliikuwa danganya totoSimba haina hela
Kolo ni kolo mkuu 😂Kolo babako usinishirikishe upuuzi wenu wa Utopolo
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mpuuzi utabaki kuwa mpuuzi bwege weweKolo ni kolo mkuu [emoji23]
Hatujamalizaaa!
Nyodo zenu hizi zitaishia round ya kwanza tu,najua hii ya awali mtawaonea sana wale waporipori na ndiyo itakuwa mwisho wenu.Hatujamalizaaa!
Hatujamalizaaa!
Mleteee mdhunguu!
Mleteee mdhunguu!
Haya kenua sasaHatujamalizaaa!
Hatujamalizaaa!
Mleteee mdhunguu!
Mleteee mdhunguu!
Simba pia ni wapori-poriNyodo zenu hizi zitaishia round ya kwanza tu,najua hii ya awali mtawaonea sana wale waporipori na ndiyo itakuwa mwisho wenu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Eti team ya simba imejaa mbilikimo watupu 😂
Hivi mzungu naye ni mbilikimo?Kuna mchezaji anafikia ufupi Kibwana Shomari katika Ligi yetu? Kajitu kafupi kama tairi ya bajaji
Anayemlinganisha chama na aziz ki ni mashabiki wa yanga walianza na aucho sasa hivi wamekuja kwa chama shabiki wa simba amlinganishe chama na ufunguo kwa lipi au ile kisa kampiga shabalala toboWakati huo huo mnamlinganisha mwenye misimu minne Chama na Aziz K
Acha upumbavuHuyu mgonjwa wenu? Mtibieni basiView attachment 2342974
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Labda Aziz amzidi Chama kwa lile domo kama chuchungeAnayemlinganisha chama na aziz ki ni mashabiki wa yanga walianza na aucho sasa hivi wamekuja kwa chama shabiki wa simba amlinganishe chama na ufunguo kwa lipi au ile kisa kampiga shabalala tobo