Kwa Kikosi hiki hatari cha Yanga SC, nisiwe mnafiki Simba SC tuna kazi na nawaona Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu na watafika mbali CAFCL

Anayemlinganisha chama na aziz ki ni mashabiki wa yanga walianza na aucho sasa hivi wamekuja kwa chama shabiki wa simba amlinganishe chama na ufunguo kwa lipi au ile kisa kampiga shabalala tobo
Huyu Mbumbumbu mwenzako yako ni Yanga?
 
Ni Joyce Lomalisa na sio
Lomalisa Mutambala
 
Huuu Ni ujinga kikos kizima kimejah wageni watupi kina Denis nkane watatoka lini kwa sas ujinga Sana mm Ni mwanannchi ila tutatoka hatua za Kwanza kbsa ktk michuano ya cafcl

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wewe ulitaka Denis nkane afanywaje?
Unajua kuwa wachezaji mpira wanazidiana quality?
Quality ya wazawa unaowataka inigana na hao wageni?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli Yanga Ina kikosi Bora na Cha ushindani historian haiibebi Yanga kimataifa ila kumfunga Simba bao 8 ni ndoto
Siyo ndoto kama wewe ni mhenga, historia inaonyesha Yanga 3 Simba 0 kipindi cha kwanza, Simba wakienda kwenye vyumba vya kubadilisha nguo huwa hawarudi uwanjani hata KARIA FC [emoji83] ANAJUA HIYO KUMBUKUMBU
 
Utopolo kazini.
 
Kwa hili mkuu uko sahihi hata mimi Nakuunga mkono. Viongozi wa simba hakika wanazingua kwenye usajili .

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Umepigwa pini ukirudi uheshimu binadamu wenzio. Ulianza kukashifu Uzeruzeru wa Manara wakakaa kimya, umerudi na maumbile ya Aziz Ki utafikiri ulihusika kwenye uumbaji wake? Weka picha ya mdomo wako tulinganishe!!
.
 

Attachments

  • 1660113463286.jpg
    10.2 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…