Hivi hiki ni kikosi tofauti na kile kilichostruggle kufuzu kombe la dunia kwa kushindana na timu za bara LA amerika pekee?.Kama ndo hiki wanaosema watachukua ubingwa watuelekeze na sababu kadhaa.
Hujui mpirakwenye karatasi miaka yote vikosi vya argentina vinatisha!!!ila moyo wangu umefunguka kwa messi achukue kombe la dunia ili amfunike the overrated Maradona.
Argentina Hana mpinzani tumebakiza muda kusemaArgentina au brazil mwaka huu anabeba
Umenikumbusha katuni ya lile dubwaba lililokuwa na flag tag ya Ujerumani ili trend sana siku ya fainali ya kombe la dunia lililopita, lilimkuta Messi amejificha nyuma ya mwamba akipumua kutumia vipumulio vyote mwilini mwake.Jamani ndugu zanguni!! Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...
View attachment 722613
Na hiki ndio kikosi ambacho bwana Sampaoli atakuwa amekiandaa kwenda kumaliza kazi nchini Urusi.
GOALKEEPERS
SERGIO ROMERO (MAN U)
NAHUEL GUZMAN (TIGRES)
DEFENDER'S
MARCOS ROJO (MAN UNITED)
OTAMENDI (MAN CITY)
MERCADO (SEVILLA)
MUSACCHIO (AC MILAN)
RONCAGLIA (CELTA DE VIGO)
FUNES MORI (EVERTON)
ZABALETA (WEST HAM UNITED)
EMMANUEL MAMMANA
MIDFIELDERS
DI MARIA (PSG)
MASCHERANO (CHINA)
BANEGA (SEVILLA)
LUCAS BIGLIA (AC MILAN)
AUGUSTO (ATL MADRID)
ERICK LAMELA (TOTTENHAM)
NICOLAS GAITAN (CHINA)
KRANEVITTER (ZENIT)
JAVIER PASTORY (PSG)
EDWARDO SALVIO TOTO (BENFICA)
FORWARDS
LEO 10 (BARCELONA)
PAULO DYABALA (JUVENTUS)
KUN AGUERO (MAN CITY)
MAURO LCARDI (INTER MILAN)
HIGUAIN (JUVENTUS)
ANGEL CORREA (ATL MADRID)
LUCAS PRATTO (RIVER PLATE)
Katika hiki kikosi, kwa upande wangu nimependelea first eleven iwe hivi...je wewe ungependaje?
FIRST ELEVEN
GOALKEEPER_______/\____DEFENDER'S
SERGIO ROMERO____<>____MARCOS ROJO
_______________________NICOLAS OTAMENDI
_______________________MERCADO
_______________________RONCAGLIA
MIDFIELDER'S______/\_____FOWARDS
MASCHERANO________<>______LEO MESSI
ANGEL DI MARIA____<>______PAULO DYBALA
ERICKLAMELA_______<>______MAURO LCARDI
Na katika LINE UP ni ipi ungependelea iwepo?
1
View attachment 722599
2.View attachment 722607
3.View attachment 722602
SUBSTITUTION YANGU
GOALKEEPER__________/\____DEFENDERS
NAHUEL GUZMAN______<>_____MUSACCHIO
___________________<>_____FUNES MORI
___________________<>_____ZABALETA
___________________<>_____MAIDANA
MIDFIELDERS________/\___FOWARDS
AUGUSTO____________<>___KUN AGUERO
JAVIER PASTORY_____<>___HIGUAIN
LUCAS BIGLIA_______<>__ANGEL CORREA
ARGENTINA COACH, GEORGE SAMPAOLI
Kwani aguero alishakuwa na msaada kwenye timu ya taifa lini?..Hakuna hata anachokifanya kule mbele..Ingekuwa nchi nyingine ashapigwa chini siku mingiYupo mkuu...ningetamani Lcardi wamuanzishe
Miaka yoooote anamsaada gani kwe ye team?..Au ndo u star ndo sababu anaitwa.Ingekuwa nchi zinzzojielewa ashapigwa chini siku mingi.Yaani ni garasa tu kule mbele,Icard acheze balada ya hili garasa AgueroAmeitwa mkuu...nimemcheki instagram jamaa anapasha yeye messi mascherano n.k kwa ajili ya mechi leo dhidi ya itay froendly match...tunaomba wasituumizie tu wachezaji wetu
Hawa hawa subiri wacheze na Brazil friendly match neutral ground,..Wanaogeshwa 3 utafikiri ni mbao FC.Argentina sijui wana tatizo gani hakya nani.daahBinafsi sijaona ubora wowote wa kutisha wa Argentina as a team
Tatizo lao kuu hawa jamaa wanavipaji vya kutisha only forward line tu ukiangalia quality. Hapo IPO mbele tu ,huku messi,kule dyabala,di maria , aguero ,icardi or higuain gani hawa strikers wanaingia straight kwenye timu yoyote ile
Sasa rudi nyuma mabeki wa kawaida sanaaaa
Midfield pia ya kawaida sanaaa .huwezi ukashinda kirahisi na kikosi kama hicho , ila angalia wajerumani kuanzia keeper,mabeki,midfield wapi very strong ingawa forward line yao haifikii kwa Argentina individually lakini kwa timu naona wapo more complete
Wewe unjiona unaelewa sana siyo?..Kikosi hiki hiki si ndo kili struggle kufuvu WC?.Kama ni kikosi bora ni kwa nini wasingefuzu bila presha kama wenzao?..Unataka tuwaamini kwa kipi kama hata hicho kidogo cha kufuzu kiliwatoa jasho?....Naona kuna kitu huelewi, ukisha kuwa na kiungo nzuri hata kama huna strikers wazuri jua una nafasi nzuri ya kushinda!! Mwaka fulan spain hawakua na namba 9 kabisa, ila walikua na viungo wakali wakiongozwa na xavi na iniesta alafu mbele akacheza fabregas kama false 9!! Mbona walibeba euro!!
Ujeruman wana defence nzuri na kiungo makin ikiongozwa na akina toni kroos,muller na ozil hapo tarajia ushindi!!
98% ni wachezaji hawa hawa,kubali as a team kuna shida Argentina.Kitu kama kina shida jaribu ku admit.Usijwkimbia tu siku ukiskia Argentina imeishia kwenye makundi.Wengi wao hawakuwemo Mkuu..LCARDI, DYBALA,SCOCCO N.K
Kwahyo ukiwa wa kwanza kufuzu ndio ishara ya wewe kufanya vizuri??? Ureno alipitia play-off na akabeba euro au umesahahu...Wewe unjiona unaelewa sana siyo?..Kikosi hiki hiki si ndo kili struggle kufuvu WC?.Kama ni kikosi bora ni kwa nini wasingefuzu bila presha kama wenzao?..Unataka tuwaamini kwa kipi kama hata hicho kidogo cha kufuzu kiliwatoa jasho?....
Ukifuzu wa kwanza inamaana una uwezo,Hiyo haina ubishi hata mtoto mdogo analijua hilo.Argentina kwa ubora huu mnaoupigia chapuo hapa,haikutakiwa kufuzu kwa taabu kiasi kile,Ilitakiwa waonyeshe uwezo na wafuzu bila presha kama wenzao,Unasumbuliwa na vitimu kama Bolivia unataka tukuamini utaifunga Germany?..Kwahyo ukiwa wa kwanza kufuzu ndio ishara ya wewe kufanya vizuri??? Ureno alipitia play-off na akabeba euro au umesahahu...
World cup ni tournament ya mwezi mzima lolote linaweza tokea