Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Brazil o France..hata wale best looser huwa wana bahati flani japo hawachezi mpira wa kutisha,Binafsi timu ya kwanza kabisa nnayoisupport ni Portugal.
 
Hivi hiki ni kikosi tofauti na kile kilichostruggle kufuzu kombe la dunia kwa kushindana na timu za bara LA amerika pekee?.Kama ndo hiki wanaosema watachukua ubingwa watuelekeze na sababu kadhaa.

Wengi wao hawakuwemo Mkuu..LCARDI, DYBALA,SCOCCO N.K
 
Mtu anayejiita Buenos Aires anaisifia Argentina, what's new here, water is wet!

Ni kikosi hiki hiki kimeponea chupu chupu kutoshiriki kabisa WC 2018, kimepenya kwa mbinde dakika za mwisho. Hawana jipya
 
Very interesting, yani washabiki wa barca ndo washabiki wa Argentina, kisa messi bila shaka hawa jamaa watuwa machalii sana, Jf unaweza kudhani unaongea na mtu mzima kumbe mtoto wako
 
we panga tuu Germany machine usisah ha u......katili aka Hitler. .[emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
Jamani ndugu zanguni!! Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...
View attachment 722613
Na hiki ndio kikosi ambacho bwana Sampaoli atakuwa amekiandaa kwenda kumaliza kazi nchini Urusi.

GOALKEEPERS
SERGIO ROMERO (MAN U)
NAHUEL GUZMAN (TIGRES)

DEFENDER'S
MARCOS ROJO (MAN UNITED)
OTAMENDI (MAN CITY)
MERCADO (SEVILLA)
MUSACCHIO (AC MILAN)
RONCAGLIA (CELTA DE VIGO)
FUNES MORI (EVERTON)
ZABALETA (WEST HAM UNITED)
EMMANUEL MAMMANA

MIDFIELDERS
DI MARIA (PSG)
MASCHERANO (CHINA)
BANEGA (SEVILLA)
LUCAS BIGLIA (AC MILAN)
AUGUSTO (ATL MADRID)
ERICK LAMELA (TOTTENHAM)
NICOLAS GAITAN (CHINA)
KRANEVITTER (ZENIT)
JAVIER PASTORY (PSG)
EDWARDO SALVIO TOTO (BENFICA)

FORWARDS
LEO 10 (BARCELONA)
PAULO DYABALA (JUVENTUS)
KUN AGUERO (MAN CITY)
MAURO LCARDI (INTER MILAN)
HIGUAIN (JUVENTUS)
ANGEL CORREA (ATL MADRID)
LUCAS PRATTO (RIVER PLATE)


Katika hiki kikosi, kwa upande wangu nimependelea first eleven iwe hivi...je wewe ungependaje?

FIRST ELEVEN

GOALKEEPER_______/\____DEFENDER'S
SERGIO ROMERO____<>____MARCOS ROJO
_______________________NICOLAS OTAMENDI
_______________________MERCADO
_______________________RONCAGLIA



MIDFIELDER'S______/\_____FOWARDS
MASCHERANO________<>______LEO MESSI
ANGEL DI MARIA____<>______PAULO DYBALA
ERICKLAMELA_______<>______MAURO LCARDI


Na katika LINE UP ni ipi ungependelea iwepo?
1
View attachment 722599
2.View attachment 722607
3.View attachment 722602

SUBSTITUTION YANGU
GOALKEEPER__________/\____DEFENDERS
NAHUEL GUZMAN______<>_____MUSACCHIO
___________________<>_____FUNES MORI
___________________<>_____ZABALETA
___________________<>_____MAIDANA



MIDFIELDERS________/\___FOWARDS
AUGUSTO____________<>___KUN AGUERO
JAVIER PASTORY_____<>___HIGUAIN
LUCAS BIGLIA_______<>__ANGEL CORREA


ARGENTINA COACH, GEORGE SAMPAOLI
Umenikumbusha katuni ya lile dubwaba lililokuwa na flag tag ya Ujerumani ili trend sana siku ya fainali ya kombe la dunia lililopita, lilimkuta Messi amejificha nyuma ya mwamba akipumua kutumia vipumulio vyote mwilini mwake.
 
Yupo mkuu...ningetamani Lcardi wamuanzishe
Kwani aguero alishakuwa na msaada kwenye timu ya taifa lini?..Hakuna hata anachokifanya kule mbele..Ingekuwa nchi nyingine ashapigwa chini siku mingi
 
Ameitwa mkuu...nimemcheki instagram jamaa anapasha yeye messi mascherano n.k kwa ajili ya mechi leo dhidi ya itay froendly match...tunaomba wasituumizie tu wachezaji wetu
Miaka yoooote anamsaada gani kwe ye team?..Au ndo u star ndo sababu anaitwa.Ingekuwa nchi zinzzojielewa ashapigwa chini siku mingi.Yaani ni garasa tu kule mbele,Icard acheze balada ya hili garasa Aguero
 
Binafsi sijaona ubora wowote wa kutisha wa Argentina as a team

Tatizo lao kuu hawa jamaa wanavipaji vya kutisha only forward line tu ukiangalia quality. Hapo IPO mbele tu ,huku messi,kule dyabala,di maria , aguero ,icardi or higuain gani hawa strikers wanaingia straight kwenye timu yoyote ile

Sasa rudi nyuma mabeki wa kawaida sanaaaa

Midfield pia ya kawaida sanaaa .huwezi ukashinda kirahisi na kikosi kama hicho , ila angalia wajerumani kuanzia keeper,mabeki,midfield wapi very strong ingawa forward line yao haifikii kwa Argentina individually lakini kwa timu naona wapo more complete
Hawa hawa subiri wacheze na Brazil friendly match neutral ground,..Wanaogeshwa 3 utafikiri ni mbao FC.Argentina sijui wana tatizo gani hakya nani.daah
 
Naona kuna kitu huelewi, ukisha kuwa na kiungo nzuri hata kama huna strikers wazuri jua una nafasi nzuri ya kushinda!! Mwaka fulan spain hawakua na namba 9 kabisa, ila walikua na viungo wakali wakiongozwa na xavi na iniesta alafu mbele akacheza fabregas kama false 9!! Mbona walibeba euro!!

Ujeruman wana defence nzuri na kiungo makin ikiongozwa na akina toni kroos,muller na ozil hapo tarajia ushindi!!
Wewe unjiona unaelewa sana siyo?..Kikosi hiki hiki si ndo kili struggle kufuvu WC?.Kama ni kikosi bora ni kwa nini wasingefuzu bila presha kama wenzao?..Unataka tuwaamini kwa kipi kama hata hicho kidogo cha kufuzu kiliwatoa jasho?....
 
Wengi wao hawakuwemo Mkuu..LCARDI, DYBALA,SCOCCO N.K
98% ni wachezaji hawa hawa,kubali as a team kuna shida Argentina.Kitu kama kina shida jaribu ku admit.Usijwkimbia tu siku ukiskia Argentina imeishia kwenye makundi.
 
Wewe unjiona unaelewa sana siyo?..Kikosi hiki hiki si ndo kili struggle kufuvu WC?.Kama ni kikosi bora ni kwa nini wasingefuzu bila presha kama wenzao?..Unataka tuwaamini kwa kipi kama hata hicho kidogo cha kufuzu kiliwatoa jasho?....
Kwahyo ukiwa wa kwanza kufuzu ndio ishara ya wewe kufanya vizuri??? Ureno alipitia play-off na akabeba euro au umesahahu...



World cup ni tournament ya mwezi mzima lolote linaweza tokea
 
Kwahyo ukiwa wa kwanza kufuzu ndio ishara ya wewe kufanya vizuri??? Ureno alipitia play-off na akabeba euro au umesahahu...



World cup ni tournament ya mwezi mzima lolote linaweza tokea
Ukifuzu wa kwanza inamaana una uwezo,Hiyo haina ubishi hata mtoto mdogo analijua hilo.Argentina kwa ubora huu mnaoupigia chapuo hapa,haikutakiwa kufuzu kwa taabu kiasi kile,Ilitakiwa waonyeshe uwezo na wafuzu bila presha kama wenzao,Unasumbuliwa na vitimu kama Bolivia unataka tukuamini utaifunga Germany?..
 
Sampaoli is a good coach hasa wakikaa nae zaidi na awafundishe mbinu zake utapigwa mpira wa balance sana nyuma defence nzuri na mbele attack za kufa mtu BUT wasimchoshe kijana wetu kwa kutengeneza mfumo wa over-reliance kwa Messi
 
Back
Top Bottom