Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Wewe unjiona unaelewa sana siyo?..Kikosi hiki hiki si ndo kili struggle kufuvu WC?.Kama ni kikosi bora ni kwa nini wasingefuzu bila presha kama wenzao?..Unataka tuwaamini kwa kipi kama hata hicho kidogo cha kufuzu kiliwatoa jasho?....

Kama wewe unaijuwa vizuri Argentina nitajie whole squad walio enda brazili 2014! Then Nitajie na ambao hawakuwepo...maana unaongea sana
 
Sampaoli is a good coach hasa wakikaa nae zaidi na awafundishe mbinu zake utapigwa mpira wa balance sana nyuma defence nzuri na mbele attack za kufa mtu BUT wasimchoshe kijana wetu kwa kutengeneza mfumo wa over-reliance kwa Messi

Kabisa kiongozi. Ingelikuwa wote wanacoment hivi ingependeza zaidi...God bless you
 
Kwani aguero alishakuwa na msaada kwenye timu ya taifa lini?..Hakuna hata anachokifanya kule mbele..Ingekuwa nchi nyingine ashapigwa chini siku mingi

Eti nchi nyingine ashapigwa chini...wabongo hatubadiliki kwakweli. Inawezekana hata tim huijui vizuri na hata wachezaji wenyewe pia huwajui bali unachokiona kimapostiwa hapa jukwaani ndicho unachokiamini..
 
Argentina haina kocha wangemuomba walau diego simeone kwa miezi iliyobaki awaongoze ila sampaoli sidhani kama ni level za kuifundisha argentina yatawakuta ya PSG game zinazohitaji experience mfano wakikutana na timu za ulaya mashariki huyo sampaoli lazima awe mweupe kabisa

Argentina wanashindwaje kutafuta kocha mwenye hadhi na uzoefu kuongoza timu yenye mastaa sio huyu ambaye anaogopa ogopa mastaa
 

Yupi mwenye uafadhali kati ya hawa?

Semi final... Germany 7-1 Brazil
Final...Germany 1-0 Argentina

Imefikaje final kama unaona wanasumbuliwa na vitim vidogo? Wakati mwingine ukiwa huna cha kuchangia ni heri usome upite zako.
 

Asante sana mbunge wangu umeongea facts...Diego simeon ilikuwa choice yangu.. na nilitegemea itakuwa hivyo na haikuwa..
 
Miaka kadhaa wameshindwa vipi this time uwaone wanaweza?

Ina maana hata Germany Machine hujaipa Nafasi timu yenye vikosi hatari vyote watoto kwa wakubwa
 
Miaka kadhaa wameshindwa vipi this time uwaone wanaweza?

Ina maana hata Germany Machine hujaipa Nafasi timu yenye vikosi hatari vyote watoto kwa wakubwa

Ujerumani wana vikosi hatari mkuu wala sipingani na wewe kabisa..na ndio naogopa kukutananao kwa mara nyingine. Wana kikosi B pia ni hatari. Hope sampaoli atakipanga vyema kikosi chake.

Argentina
Germany
Spain
Belgium
Brazil
Portugal
Croatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…