Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Unajua mpira...ahsante mkuu.Hawa jamaa wanachomoka mapema sana.... na kinachowatoa ni nyota tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mpira...ahsante mkuu.Hawa jamaa wanachomoka mapema sana.... na kinachowatoa ni nyota tu
Wewe unjiona unaelewa sana siyo?..Kikosi hiki hiki si ndo kili struggle kufuvu WC?.Kama ni kikosi bora ni kwa nini wasingefuzu bila presha kama wenzao?..Unataka tuwaamini kwa kipi kama hata hicho kidogo cha kufuzu kiliwatoa jasho?....
Sampaoli is a good coach hasa wakikaa nae zaidi na awafundishe mbinu zake utapigwa mpira wa balance sana nyuma defence nzuri na mbele attack za kufa mtu BUT wasimchoshe kijana wetu kwa kutengeneza mfumo wa over-reliance kwa Messi
Hiko ni kikosi chako, bado Messi ajampangia Sampeoli kikosi chake.
Kwani aguero alishakuwa na msaada kwenye timu ya taifa lini?..Hakuna hata anachokifanya kule mbele..Ingekuwa nchi nyingine ashapigwa chini siku mingi
tutakuwepo siku bara la Africa likitengana kama wanasayansi wanavyo semaPole sana Mkuu. Hope mtakuwepo W/c ijayo
Ukifuzu wa kwanza inamaana una uwezo,Hiyo haina ubishi hata mtoto mdogo analijua hilo.Argentina kwa ubora huu mnaoupigia chapuo hapa,haikutakiwa kufuzu kwa taabu kiasi kile,Ilitakiwa waonyeshe uwezo na wafuzu bila presha kama wenzao,Unasumbuliwa na vitimu kama Bolivia unataka tukuamini utaifunga Germany?..
Argentina haina kocha wangemuomba walau diego simeone kwa miezi iliyobaki awaongoze ila sampaoli sidhani kama ni level za kuifundisha argentina yatawakuta ya PSG game zinazohitaji experience mfano wakikutana na timu za ulaya mashariki huyo sampaoli lazima awe mweupe kabisa
Argentina wanashindwaje kutafuta kocha mwenye hadhi na uzoefu kuongoza timu yenye mastaa sio huyu ambaye anaogopa ogopa mastaa
Miaka kadhaa wameshindwa vipi this time uwaone wanaweza?
Ina maana hata Germany Machine hujaipa Nafasi timu yenye vikosi hatari vyote watoto kwa wakubwa
Argentina Hana mpinzani tumebakiza muda kusema
Naunga mkono hoja
Mleta thread naona umemsahau mtoto mmoja yuko Boca J Cristiano Pavon hii itakuwa surprise ya dunia uko Russia...
Team Argentina![]()
![]()