Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Ahaaa haaa mbona wamechapwa 6-1na Spain.
 
Dah.kikosi cha vijana icho mkuu, king Messi, Aguero, lcardi, de maria, dybala wote hawamo 😀😀😀
Ukimtoa Messi,, wengine walikuwepo kwenye mechi ya kirafiki kati ya Argentina na Nigeria,, hapa pia Argentina alipigwa
 
punguza mhemko wa ushabiki angalia sasa umetoa analysis ya Argentina pekee, Je unawajua wapinzani wake? how comes tukiweka vikosi vya spain ,germany ,brazil en so f4th huyo argentina hachezi na taifa stazi ujue !"?
 
Very interesting, yani washabiki wa barca ndo washabiki wa Argentina, kisa messi bila shaka hawa jamaa watuwa machalii sana, Jf unaweza kudhani unaongea na mtu mzima kumbe mtoto wako
haahah kweli kabisa vingine vitoto kabisa sio watoto
 
Dah.kikosi cha vijana icho mkuu, king Messi, Aguero, lcardi, de maria, dybala wote hawamo 😀😀😀
Mbona mechi na Nigeria wote walikuwemo isipokuwa Messi na mlikula 4-2.Braza kubali timu yako ipo disorganized.
 
Wameshakula Misumari 6 wamebakia Kuweweseka Mara Messi hakuwemo, Mara Icardi, Mara Aguero, Mara Higuan, mara Di Maria.....

Mpira si Maneno! Argentina Ni Sawa na Brazili Hawana Uwezo Wa Kuchukua Kombe la Dunia Ndani Ya Ulaya trust me!

Wasubiri Lichezwe America au Asia Ndiyo Kidogo Brazili anaweza Kubahatisha Lakini si Argentina.
 
Kihistoria Brazil kashachukua ulaya 1958 huko Sweden,mabara mengine Amerika Kaskazini Marekani 1994,Asia korea/japan 2002
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…