Hata ukiangalia kikosi chao hawana mweusi hata mmojaargentina huwa wana gundu...
Sijui ni dhambi ya ubaguzi,nasia kwao walikataa waaafrika..
Hata ukiangalia kikosi chao hawana mweusi hata mmoja
Mbona Tanzania waafrica tele na hata CAN inatushinda kufuzu
argentina huwa wana gundu...
Sijui ni dhambi ya ubaguzi,nasia kwao walikataa waaafrika..
Litimu la Andunje ni kama Jkt Oljoro
Argentina hata kufuzu tu wamefuzu kwa shida bado pia mechi za kirafiki matokeo yake ndo km haya,, hlf mtu anasema watachukua kombe mapema,,
- Kufungwa goli 6 sio sio mwisho wa kupambana ninachotaka kukuambia mkuu ni kwamba tungojee kombe lipo karibu sana kuanza...Argentina watacheza FINAL wewe tunza maneno yangu.
- Pili kumbuka 2010 huyo huyo Spain alichezea kichapo cha goli 4-1. So mechi ya jana Argentina walikuwa hawana nyota wao MESSI, DI MARIA, AGUERO, DYBALA, LCARDI, LANZINI, MERCADO, RONCAGLIA N.K. na wote tunajuwa uwezo wa hawa watu dimbani, na ukiangalia wakina INIESTA walikamilika wote walikuwemo usitegemee kikosi tofauti kombe la dunia kwa wale jamaa maana ndo wamemaliza mle, itategemea mabadiliko makubwa kwa Argentina kwenye kikosi zaidi kwenye ushambuliaji kwahiyo naweza kusema Argentina bado wana ubora wa hali ya juu kuliko timu yeyote ile,, so wakutusumbua pale ni Mjerumani tu.
Yani Mkuu Unahisi King Messi Peke Yake Atakuwa Na Uwezo Wa Kuibeba Argentina Hata Ukahisi Kuwepo Kwake Ndiyo Argentina itabeba Kombe?
Si sawa kusema walifuzu kwa shida, ndio iwe sababu ya wao kutofanya vizuri. Kama ni hivo wale wareno nao wasingechukua ule ubingwa wa ulaya maana walipita kwa shida.Argentina hata kufuzu tu wamefuzu kwa shida bado pia mechi za kirafiki matokeo yake ndo km haya,, hlf mtu anasema watachukua kombe mapema,,
Si sawa kusema walifuzu kwa shida, ndio iwe sababu ya wao kutofanya vizuri. Kama ni hivo wale wareno nao wasingechukua ule ubingwa wa ulaya maana walipita kwa shida.
Akikujibu nitag
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Si sawa kusema walifuzu kwa shida, ndio iwe sababu ya wao kutofanya vizuri. Kama ni hivo wale wareno nao wasingechukua ule ubingwa wa ulaya maana walipita kwa shida.
I'll Argentina wawe mabingwa Andunje anyang'anywe kitambaa kwa kuwa hana sifa za uongozi ....mzee kumbuka yeye ndiye chanzo cha Mauro Icard kutokuitwa ,pia yeye ndiye vuguvugu La chini kwa chini la bifu la dyabala ,pia kuna....Yani Mkuu Unahisi King Messi Peke Yake Atakuwa Na Uwezo Wa Kuibeba Argentina Hata Ukahisi Kuwepo Kwake Ndiyo Argentina itabeba Kombe?
Hivi Unazani Wapumbavu Wale Kina Outamendi, Lanzini, Di Maria na Higuan Wanaweza Kuipatia Argentina Kombe?
Nilianza Kuingalia Argentina 1994, 98, 2002, 2006, 2010 na 2014. Katika Miaka Hiyo Yote Sijawahi Kuiona Argentina Kuwa Serious na Kutaka Kubeba Kombe Kiasi Ya Kwamba Juhudi Binafsi Za Messi Hazikuweza Kuipa Argentina Chochote.
Kwa Argentina Hii iliyopo Huna Haja Ya Kusema itasumbuliwa na Mjerumani! Hata Huyu Brazili Mbovu aliepo Atamsumbua Argentina na Kumfunga Muda Wowote!
Na Kwa Timu Za Ulaya Ndiyo Kabisa Argentina Hana Safari.
Sijui Timu Gani, Lakini I believe Kombe Litabakia Ulaya.
Acha kuifananisha Taifa Stars na vitu vya ajabu.wanatia hurumaaaa wapo kama taifa star