Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanunue vikombe vya Chai wapelekee wake zao Zawadi kutoka Russia[emoji23][emoji23][emoji23]
JoseeeeeeSay it again...[emoji81] [emoji81] [emoji81]
naaam mkuuuJoseeeeee
Mkuu naona baada ya jf kupotea tulikuwa kama likizo vilenaaam mkuuu
ni shida mkuu ila nilijivinjari ugenini Kenya kwa mudaMkuu naona baada ya jf kupotea tulikuwa kama likizo vile
Hahahahaa Poapoa mkuuni shida mkuu ila nilijivinjari ugenini Kenya kwa muda
fureshi mzee bAbaHahahahaa Poapoa mkuu
Itakuwa ile ya manzeseHivi mwaongelea Argentina ipi
Na KweliItakuwa ile ya manzese
Kuna wachambuzi uchwara wengine walituambia livapuli atabeba uefa, hawa nao mod wanatakiwa kuwafutilia mbali.
Msimu huu naona vigogo wanapishana anganiNa Spain tayari ameshabanjwa Korodani huko Kwa Nyundo za Wasovieti 😀😀😀