Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Mashabiki wa argentina huwa wana maneno mengi sana bila kuangalia hali ya mambo jinsi ilivyo wanaishia kutaja majina ya wachezaji wao mpira hauko hivyo wazee.
 
Na Spain tayari ameshabanjwa Korodani huko Kwa Nyundo za Wasovieti 😀😀😀
 
Back
Top Bottom