Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makundi ya nzige labdaEleza vizuri,makundi ya kitu gani
Mbwa in advanceMkisonga makundi niite mbwa nipo hapa
Hivi mnatumana humu JF ?Mwisho mwa wiki iliyopita Yanga SC walitoka suluhu ya 1-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan, kwenye dimba la Mkapa. Matokeo hayo yameibua maneno mengi sana mitandaoni ikionekana kama vile Yanga SC ameshatolewa katika kinyang'anyiro hicho cha Klabu Bingwa Afrika kuelelekea hatua ya makundi.
Ukiangalia ile mechi KIUFUNDI ZAIDI, utagundua kuwa ni Yanga wao wenyewe ndio walishindwa kuimaliza mechi. Makosa makubwa yakiwa katika kikosi na mfumo.
Katika mchezo ujao, kocha Nabi anapaswa kuheshima kikosi kilichompa ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu uliopita 2021/22 ambacho kilifunga magoli 49, kufungwa magoli 8 tu, na kumaliza ligi Unbeaten. Hicho ndio kikosi kinachopaswa kuanza kwenye mchezo ujao, kwani asilimia kubwa ya wachezaji wapo kikosini na wana elewana vema uwanjani.
Kwenye dimba la kati hucheza viungo wawili wakabaji wenye majukumu tofauti. Bangala hucheza kama Defensive Midfielder, na Aucho hucheza kama Box to Box Midfilder.
Bangala anapocheza kama kiungo mkabaji timu hu relax, pmajukumu yote ya kukaba na kupokonya mpira hubaki kwake, timu ikishambuliwa hubaki nyuma kuungana na Central Defenders wawili na kufanya timu kuwa katika shape ya 3-4-3.
Aucho ni mzuri sana kwenye penetration pass. Anapocheza kama box to box midfilder, pasi zake za mwisho kuelekea mbele huleta madhara kwa timu pinzani.
Kwenye attacking midfilder, Feisal Salum na Aziz Ki hawapaswi kuanza pamoja. Kwanza, ni matumizi mabaya ya silaha. Pili, kunawanyima nafasi ya kujiachia zaidi kwenye dimba la kati. Kila mmoja huingilia majukumu ya mwenzie. Kutokana na uzoefu kikosini, Nabi anaweza kuanza na Feisal ili kupata combination nzuri kati yake na Mayele. Aziz Ki ni fantastic player hivyo akianzia sub kutampa nafasi nzuri ya kusoma mchezo na baadae akatumika kama game changer.
Beki wa kushoto aanze Lomalisa. Kibwana anakuja kwa kasi kwenye eneo la beki wa kulia na kushoto, lakini uzoefu wa Lomalisa kwenye michuano ya kimataifa kunampa credit zaidi ya kuanza kwenye kikosi. Kibwana ni mzuri kukaba, lakini sio mzuri kwenye kupiga krosi kutokana na mguu anaotumia (wa kulia) ukilinganisha na Lomalisa ambaye ni beki halisi wa kushoto na anatumia mguu wa kushoto. Hayupo vizuri kwenye kukaba, lakini sio tatizo unapokuwa na kiungo mkabaji halisi kama Bangala.
Yanga SC wakicheza katika mfumo wa 4-3-3 ambapo golini akae Diara, Mabeki ni Djuma, Nondo, Job na Lomalisa, wakati viungo ni Bangala, Aucho, na Feisal, huku mbele kabisa kukiwa na Farid, Mayele na Morisson. Kwa kikosi hicho Al Hilal watakuwa na wakati na mgumu kuwazuia kupata matokeo. Hapo nje kwenye "Sub" kuna Aziz Ki, Moloko, Tuisila, Kibwana, Makambo, Mauya, Gael, Sure Boy nk.View attachment 2386194
Hivi mmefika hatua ya kumdharau captain wenu kiasi hiki? Hata kwenye sub tu hawezi ingia?Mwisho mwa wiki iliyopita Yanga SC walitoka suluhu ya 1-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan, kwenye dimba la Mkapa. Matokeo hayo yameibua maneno mengi sana mitandaoni ikionekana kama vile Yanga SC ameshatolewa katika kinyang'anyiro hicho cha Klabu Bingwa Afrika kuelelekea hatua ya makundi.
Ukiangalia ile mechi KIUFUNDI ZAIDI, utagundua kuwa ni Yanga wao wenyewe ndio walishindwa kuimaliza mechi. Makosa makubwa yakiwa katika kikosi na mfumo.
Katika mchezo ujao, kocha Nabi anapaswa kuheshima kikosi kilichompa ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu uliopita 2021/22 ambacho kilifunga magoli 49, kufungwa magoli 8 tu, na kumaliza ligi Unbeaten. Hicho ndio kikosi kinachopaswa kuanza kwenye mchezo ujao, kwani asilimia kubwa ya wachezaji wapo kikosini na wana elewana vema uwanjani.
Kwenye dimba la kati hucheza viungo wawili wakabaji wenye majukumu tofauti. Bangala hucheza kama Defensive Midfielder, na Aucho hucheza kama Box to Box Midfilder.
Bangala anapocheza kama kiungo mkabaji timu hu relax, pmajukumu yote ya kukaba na kupokonya mpira hubaki kwake, timu ikishambuliwa hubaki nyuma kuungana na Central Defenders wawili na kufanya timu kuwa katika shape ya 3-4-3.
Aucho ni mzuri sana kwenye penetration pass. Anapocheza kama box to box midfilder, pasi zake za mwisho kuelekea mbele huleta madhara kwa timu pinzani.
Kwenye attacking midfilder, Feisal Salum na Aziz Ki hawapaswi kuanza pamoja. Kwanza, ni matumizi mabaya ya silaha. Pili, kunawanyima nafasi ya kujiachia zaidi kwenye dimba la kati. Kila mmoja huingilia majukumu ya mwenzie. Kutokana na uzoefu kikosini, Nabi anaweza kuanza na Feisal ili kupata combination nzuri kati yake na Mayele. Aziz Ki ni fantastic player hivyo akianzia sub kutampa nafasi nzuri ya kusoma mchezo na baadae akatumika kama game changer.
Beki wa kushoto aanze Lomalisa. Kibwana anakuja kwa kasi kwenye eneo la beki wa kulia na kushoto, lakini uzoefu wa Lomalisa kwenye michuano ya kimataifa kunampa credit zaidi ya kuanza kwenye kikosi. Kibwana ni mzuri kukaba, lakini sio mzuri kwenye kupiga krosi kutokana na mguu anaotumia (wa kulia) ukilinganisha na Lomalisa ambaye ni beki halisi wa kushoto na anatumia mguu wa kushoto. Hayupo vizuri kwenye kukaba, lakini sio tatizo unapokuwa na kiungo mkabaji halisi kama Bangala.
Yanga SC wakicheza katika mfumo wa 4-3-3 ambapo golini akae Diara, Mabeki ni Djuma, Nondo, Job na Lomalisa, wakati viungo ni Bangala, Aucho, na Feisal, huku mbele kabisa kukiwa na Farid, Mayele na Morisson. Kwa kikosi hicho Al Hilal watakuwa na wakati na mgumu kuwazuia kupata matokeo. Hapo nje kwenye "Sub" kuna Aziz Ki, Moloko, Tuisila, Kibwana, Makambo, Mauya, Gael, Sure Boy nk.View attachment 2386194
Uliangalia mpira? Job ndye aliyechomeshaHivi mmefika hatua ya kumdharau captain wenu kiasi hiki? Hata kwenye sub tu hawezi ingia?
Na huyo Bangala si ndio alichomesha goli mlilofungwa?
Tatizo la utopolo mnachukulia kama Al hilal watasimama tu uwanjani na nyie mcheze mpira. Hamna heshima kwa wapinzani wenu.
Tuwekee na kikosi cha Al HilalMwisho mwa wiki iliyopita Yanga SC walitoka suluhu ya 1-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan, kwenye dimba la Mkapa. Matokeo hayo yameibua maneno mengi sana mitandaoni ikionekana kama vile Yanga SC ameshatolewa katika kinyang'anyiro hicho cha Klabu Bingwa Afrika kuelelekea hatua ya makundi.
Ukiangalia ile mechi KIUFUNDI ZAIDI, utagundua kuwa ni Yanga wao wenyewe ndio walishindwa kuimaliza mechi. Makosa makubwa yakiwa katika kikosi na mfumo.
Katika mchezo ujao, kocha Nabi anapaswa kuheshima kikosi kilichompa ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu uliopita 2021/22 ambacho kilifunga magoli 49, kufungwa magoli 8 tu, na kumaliza ligi Unbeaten. Hicho ndio kikosi kinachopaswa kuanza kwenye mchezo ujao, kwani asilimia kubwa ya wachezaji wapo kikosini na wana elewana vema uwanjani.
Kwenye dimba la kati hucheza viungo wawili wakabaji wenye majukumu tofauti. Bangala hucheza kama Defensive Midfielder, na Aucho hucheza kama Box to Box Midfilder.
Bangala anapocheza kama kiungo mkabaji timu hu relax, pmajukumu yote ya kukaba na kupokonya mpira hubaki kwake, timu ikishambuliwa hubaki nyuma kuungana na Central Defenders wawili na kufanya timu kuwa katika shape ya 3-4-3.
Aucho ni mzuri sana kwenye penetration pass. Anapocheza kama box to box midfilder, pasi zake za mwisho kuelekea mbele huleta madhara kwa timu pinzani.
Kwenye attacking midfilder, Feisal Salum na Aziz Ki hawapaswi kuanza pamoja. Kwanza, ni matumizi mabaya ya silaha. Pili, kunawanyima nafasi ya kujiachia zaidi kwenye dimba la kati. Kila mmoja huingilia majukumu ya mwenzie. Kutokana na uzoefu kikosini, Nabi anaweza kuanza na Feisal ili kupata combination nzuri kati yake na Mayele. Aziz Ki ni fantastic player hivyo akianzia sub kutampa nafasi nzuri ya kusoma mchezo na baadae akatumika kama game changer.
Beki wa kushoto aanze Lomalisa. Kibwana anakuja kwa kasi kwenye eneo la beki wa kulia na kushoto, lakini uzoefu wa Lomalisa kwenye michuano ya kimataifa kunampa credit zaidi ya kuanza kwenye kikosi. Kibwana ni mzuri kukaba, lakini sio mzuri kwenye kupiga krosi kutokana na mguu anaotumia (wa kulia) ukilinganisha na Lomalisa ambaye ni beki halisi wa kushoto na anatumia mguu wa kushoto. Hayupo vizuri kwenye kukaba, lakini sio tatizo unapokuwa na kiungo mkabaji halisi kama Bangala.
Yanga SC wakicheza katika mfumo wa 4-3-3 ambapo golini akae Diara, Mabeki ni Djuma, Nondo, Job na Lomalisa, wakati viungo ni Bangala, Aucho, na Feisal, huku mbele kabisa kukiwa na Farid, Mayele na Morisson. Kwa kikosi hicho Al Hilal watakuwa na wakati na mgumu kuwazuia kupata matokeo. Hapo nje kwenye "Sub" kuna Aziz Ki, Moloko, Tuisila, Kibwana, Makambo, Mauya, Gael, Sure Boy nk.View attachment 2386194
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga labda msonge ugali ila hamuwezi kusonga mbele
Huo uchochoro mlishawai kuufunga goli ngapi labda tuanzie hapoJob,Mwamnyeto,Lomalisa,Kibwana hao wote ni uchochoro,tena uchochoro mpana sana kwa washambuliaji wa Al hilal kupita.
VikobaMakundi ya wasapu au???
Ndio tatizo la utopolo, kuta za ubongo wenu hazivuki nje, hazifikirii nje ya box, mnaridhika na matokeo yenu dhidi ya simba....Huo uchochoro mlishawai kuufunga goli ngapi labda tuanzie hapo
mshukuruni sana Okrah mumuombee.Huo uchochoro mlishawai kuufunga goli ngapi labda tuanzie hapo