Kwa kilichotokea leo kwenye kesi ya Mbowe na wenzake watatu ni vyema IGP Sirro akajiuzulu mapema sana

Kwa kilichotokea leo kwenye kesi ya Mbowe na wenzake watatu ni vyema IGP Sirro akajiuzulu mapema sana

Ni muda sasa wa Mh. Raisi kumteua IGP mpya atakayesimamia vyema sheria ya jeshi la polisi na kuwaongoza vyema askari wake wasiendelee kutumia ubabe kuonea watu hovyo na kuwabambikia watu hivyo kesi pasipo kuwa na ushahidi wa kutosha.
Polisi woote hakuna weledi..
Labda ateue kutoka nje ya hilo jeshi
 
Kuna thread umesema una tetesi siro anaondolewa.

Kwenye thread hii umekuja kusema siro ajiuzulu.

Huna uhakika na mambo yako.

Unapiga ramli tu.
 
Kuna thread umesema una tetesi siro anaondolewa.

Kwenye thread hii umekuja kusema siro ajiuzulu.

Huna uhakika na mambo yako.

Unapiga ramli tu.
Sawa SIRRO
 
Back
Top Bottom