A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 Mar 4, 2022 #21 nyboma said: Ni muda sasa wa Mh. Raisi kumteua IGP mpya atakayesimamia vyema sheria ya jeshi la polisi na kuwaongoza vyema askari wake wasiendelee kutumia ubabe kuonea watu hovyo na kuwabambikia watu hivyo kesi pasipo kuwa na ushahidi wa kutosha. Click to expand... Polisi woote hakuna weledi.. Labda ateue kutoka nje ya hilo jeshi
nyboma said: Ni muda sasa wa Mh. Raisi kumteua IGP mpya atakayesimamia vyema sheria ya jeshi la polisi na kuwaongoza vyema askari wake wasiendelee kutumia ubabe kuonea watu hovyo na kuwabambikia watu hivyo kesi pasipo kuwa na ushahidi wa kutosha. Click to expand... Polisi woote hakuna weledi.. Labda ateue kutoka nje ya hilo jeshi
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Mar 4, 2022 #22 Kuna thread umesema una tetesi siro anaondolewa. Kwenye thread hii umekuja kusema siro ajiuzulu. Huna uhakika na mambo yako. Unapiga ramli tu.
Kuna thread umesema una tetesi siro anaondolewa. Kwenye thread hii umekuja kusema siro ajiuzulu. Huna uhakika na mambo yako. Unapiga ramli tu.
nyboma JF-Expert Member Joined Aug 29, 2021 Posts 2,308 Reaction score 7,366 Mar 4, 2022 Thread starter #23 Stroke said: Kuna thread umesema una tetesi siro anaondolewa. Kwenye thread hii umekuja kusema siro ajiuzulu. Huna uhakika na mambo yako. Unapiga ramli tu. Click to expand... Sawa SIRRO
Stroke said: Kuna thread umesema una tetesi siro anaondolewa. Kwenye thread hii umekuja kusema siro ajiuzulu. Huna uhakika na mambo yako. Unapiga ramli tu. Click to expand... Sawa SIRRO
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 Mar 4, 2022 #24 Anachelewa sana Nalog off
G godson njamakuya Senior Member Joined Mar 6, 2021 Posts 170 Reaction score 196 Mar 4, 2022 #25 Bulamba said: Huenda IGP akakata rufaa kesi ya Mboye iendelee Click to expand... Ni Mbowe Mkuu, sio Mboye!
Bulamba said: Huenda IGP akakata rufaa kesi ya Mboye iendelee Click to expand... Ni Mbowe Mkuu, sio Mboye!