Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mkuu, wala sio vikundi vya dini, ni CCMPolisi wanahitaji kuzijua Sheria vizuri Si kupelekeshwa na vikundi vya kidini ndani ya Serikali.
CCM hawana dini , na hawafungagi,Mkuu, wala sio vikundi vya dini, ni CCM
na polisi wanakamata wtu wanaokula hadharani mwaka gani?Jamii Check wametoa ushahidi kwamba ile video ni ya 2017, na hata hapa JF iliwahi kuwekwa hiyo 2017, na wametoa hadi link hii ya Youtube ikionesha ni ya 2017. Sasa ikiwa kila ikifika wakati kama huu hiyo video iwe inafufuliwa kuonesha kwamba ni tatizo la "leo", tutafika wapi kama taifa?
Kwani watu huwa wanafunga usiku? hii chumvi nyingine imezidi tena.Walishawahi kupiga mtalii mmarekani mweusi alikuwa akitembea usiku ati hilo ndio kosa!,walimcharaza mikwaju akijitetea wao wanasema unajifanya hujui Kiswahili leo utasema tu!.
Huko Zanzibar maafisa wengi ni waswahili waswahili tu, proffessionalism hakuna.Napongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar KULAANI waliojichukilia sheria mikononi wakidai kupiga marufuku kula adharani
Ningependa pia yule mtalii aliyetuzwa fedha arejeshewe fedha zake na wale waliokamatwa na polisi waachiwe huru.
Wakati huo huo jeshi la polisi lifute kauli yake na DPP Zanzibar ajiuzulu kwa kudanganya umma kwamba kuna sheria inayokataza kula mchana huku akijua anachofanya hakipo kisheria na kinachochea mpasuko.
Mwisho waliotetea jambo hili waone aibu kwa kutokuwa na fikra huru....funga yako isiwe kikwazo kwa wengine