Kwa kilichowatokea Mamelod Sundowns nachelea kusema Simba SC ilikua Bora kabisa msimu huu

Kwa kilichowatokea Mamelod Sundowns nachelea kusema Simba SC ilikua Bora kabisa msimu huu

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Kuhusu kuchukua vikombe n.k hayo ni ya kimpira zaidi ila Simba SC ilikua Bora mno, hili pia limethibitishwa na nominees za NBC premium league kama nilivyoziorodhesha hapo chini.

Bodi ya ligi na TFF Tanzania Football Federation imetangaza nafasi za tuzo mbalimbali zinazowaniwa

π—žπ—œπ—£π—” 𝗕𝗒π—₯𝗔 #LigiKuu 2022/23

[emoji1241] Benedict Haule [Singida BS]
[emoji1241] Aish Manula [Simba]
[emoji1159] Djigui Diarra [Yanga]

π—•π—˜π—žπ—œ 𝗕𝗒π—₯𝗔 #LigiKuu 2022/23

[emoji1241] Bakari Nondo [Yanga]
[emoji1078]Henock Inonga [Simb]
[emoji1241] Dickson Job [Yanga]
[emoji1241] Shomari Kapombe [Simba]
[emoji1241] Mohammed Hussein [Simba]

π—žπ—œπ—¨π—‘π—šπ—’ 𝗕𝗒π—₯𝗔 #LigiKuu 2022/23

[emoji1059] Stephanie Aziz Ki [Yanga]
[emoji1241] Muzamir Yassin [Simba]
[emoji1268] Clatous Chama [Simba]
[emoji1060] Saido Ntibazonkiza [Simba]
[emoji1054] Bruno Gomes [Singida BS]

π— π—–π—›π—˜π—­π—”π—π—œ 𝗕𝗒π—₯𝗔 #LigiKuu 22/23

[emoji1241] Mzamiru Yassin [Simba]
[emoji1078] Fiston Mayele (Yanga]
[emoji1054] Bruno Gomez [Singida]
[emoji1159] Djigui Diarra [Yanga]
[emoji1060] Saido [Simba]

π— π—™π—¨π—‘π—šπ—”π—π—œ 𝗕𝗒π—₯𝗔 #LigiKuu 22/23

[emoji460] 16 - [emoji1078] Fiston Mayele
[emoji460] 10 - [emoji1268] Moses Phiri
[emoji460] 10 - [emoji1060] Ntibazonkiza
[emoji460] 09 - [emoji1059] Stephane Aziz Ki
[emoji460] 09 - [emoji1054] Bruno Gomez
[emoji460] 09 - [emoji1211] Sakho

π—žπ—’π—–π—›π—” 𝗕𝗒π—₯𝗔 #LigiKuu 2022/23

[emoji1249] Nasredinne Nabi [Yanga]
[emoji1179]Hans Pluijm [Singida BS]
[emoji1054] Robertinho [Simba]

Ili msimu ujao uwe wa mafanikio zaidi Kwa Simba SC inatakiwa kikosi kilichopo kiboreshwe na sio kufumuliwa kama wanavyodai mashabiki upepo.

Wazee wa kupiga mje na facts na sio bra bra.
 
TFF ni genge ka wahuni waliojificha kwenye uongozi wa soka.

Ligi bado haijaisha wameshatoa majina ya wanaowania tuzo, tukisema wahuni kuna mwenye akili atakataa?

Siku CAF watakapotoa tuzo za wachezaji bora alafu unakuta kwenye TFF hayupo na alikuwa mahiri kuliko wengine alafu CAF anapewa sijui sura zao watazifucha wapi hao wahuni wa TFF.

TFF ni wahuni, waache uhuni!
 
Maada haiongelei uhuni wa TFF mkuu,

By the way yupi mwenye knowledge ya mpira kati yao na wewe?
 
Hadi hapo Simba ilikuwa bora sana
20230520_194458.jpg
 
Timu zote zinazoitoa Simba robo fainali Lazima ziende fainali.

Al ahly.
Keizer chiefs
Oralndo pairate.
Wydad

Simba ni bonge la timu sema Hawana bahati
 
TFF ni genge ka wahuni waliojificha kwenye uongozi wa soka.

Ligi bado haijaisha wameshatoa majina ya wanaowania tuzo, tukisema wahuni kuna mwenye akili atakataa?

Siku CAF watakapotoa tuzo za wachezaji bora alafu unakuta kwenye TFF hayupo na alikuwa mahiri kuliko wengine alafu CAF anapewa sijui sura zao watazifucha wapi hao wahuni wa TFF.

TFF ni wahuni, waache uhuni!
epl haijaisha ila majina ya wanaowania tuzo yashatolewa,
nao wahuni?
 
Sitashangaa Wydad wakichukua kombe .na wote watakumbuka magoli Simba waliyokosa Taifa..
Simba walipaswa kufika fainali mwaka huu
Kwa kikosi gani nashangaa makolo mnavyo tamba hivi kule Morocco mlicheza mchezo gani ? Hivi ile match ndo mna dai mli pambana kiume ? Kwamba ndo match yenu bora kwenye mashindano ? at least ile game na horoya ndo inaweza kua bora kwenu zingine mme cheza upuuzi tu
 
Hiyo ni mentality za timu ndogo na mashabiki mbumbumbu huwezi kukuta mashabiki wa Man U , Bayern hata Al Hilal wakijisifu ujinga kama huo.

Kweli Rage aliona mbali.
Mtelemko mlioupata mwaka huu hautajirudia tena
 
Tumeongeza kombe lingine la tuzo.
Hadi sasa tuna makimbe yafuatayo
Kombe la kufa kiume
Kombe la robo fainali
Kombe la kuwafunga giants
Kombe la ubora
Kombe la tuzo
Nonsence.
 
Timu zote zinazoitoa Simba robo fainali Lazima ziende fainali.

Al ahly.
Keizer chiefs
Oralndo pairate.
Wydad

Simba ni bonge la timu sema Hawana bahati
Umefikiria upande uliopenda wewe ila pengine kiuhalisia ni kwamba ndio kanyagio la kusonga mbele. Ukipangiwa na Simba ni moja moja mseleleko mpaka fainali. Unafurahia wanaokutoa kucheza fainali badala ushangae kwanini mnakwamia pale pale. Kaizer chiefs haja risiti risiti kaingia tu kwenye mtihani moja kwa moja kafauliu mpaka hatua ya fainali. Nyie kila msimu ni kurisiti tu na kukomea pale pale
 
Kumbuka Simba inatolewa robo fainali siyo nusu. Mantiki ni Kwamba ukimtoa Simba huna mpinzani mwingine mgumu Hadi fainali
 
Back
Top Bottom